Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

sasa unatakaa teknolojia ya kuyeyusha hapo hapo njia ya kuyeyusha ukaitoa.

Unaelewa ulichokiandika kweli?? Be serious pls!
Kijana hivi kusaga nakuyeyusha ni sawa sivyo
Au akili zako hazina akili
 
Kwa Nini asitengenezwe katokea wapi? Hii Ni imagination tu kwa sababu tumeshindwa kufikiria so tunapambikiza creator. Huyo creator alikuwa wapi wakati anatengeneza, why lazma awe being. Most importantly why lazma aabudiwe na awe na heaven na hell kutishia watu. Na Kama yupo ulimwenguni yupo wapi na Kama yupo nje ya ulimwenguni bac hayupo
Sawa, Wewe endelea kuamini kwamba Dunia na viumbe wote wametokea tu by chance from nowhere.

Then sisi wengine acha tuamini kwenye Hiyo uliyoiita imagination.
 
Creation myths zipo nyingi duniani za tamaduni mbalimbali wagreek wanayo ya Pandora, kina Vikings wanazo, kina mesapotemia wanayo ya epic of Gilgamesh ambao wayahudi wameedit kuwa Adam n Eve. Sasa why unaamini creation myth moja Kati ya zote duniani, una hakika gani ilikuwa Adam na Eve kwa udongo na mbavu na ibilisi ndani ya bustani yenye miti ya maajabu, una ushahidi gani juu ya hii story kuizidi zingine nyingi za uumbaji. Sababu yako ni moja tu dini yako bac, lakini ukimfuata muhindu atakupa story nyingine ya uumbaji, kwa Nini usiamini hiyo. Uzuri Sayansi haijipingi, haichagui sehemu Wala tamaduni, ndo maana nasema Bora nikubali kitu chenye evidence na worldwide acceptance kuliko kitu chenye myths.
Hizo story za Pandora, Epic of Gilgamesh, Vikings mpaka ishu za kina Anunaki nimezipitia lakini zenyewe hazijanishawishi kuziamini,.....

Lakini kupitia Qur'an nimepata pa Kushika....
 
Apes, chimpanzee na human beings?
Chimpanzee na human being ni apes... viumbe wote walio family ya Hominidae ni apes. Ulisoma biology ya sec kweli ww? Kama hukusoma basi members wake ni orangutan, bonobos, chimps, gorillas and humans. Hawa ndo great APES.

Tuanzie hapo...
Tatizo umekariri Mzee.... Rudia tena kusoma Evolution Theory huenda ulichosoma kipo outdated..... Si unajua Evolution kila siku concepts zinabadilika.

Hivyo nilovyoandika ipo sahihi kabisa... Apes, Chimpanzee & Human beings inaaminika kwa mujibu wa Evolution Theory wanatokana na ancestor mmoja.... Kutoka kwa huyo ancestor ndiyo waka evolve Chimps, Human beings and other Apes.

Rudi tena kitabuni.
 
Evolution sio imani. It can be studied. Watu still wanastudy Evolution mpaka leo...

Au labda sielew unamaanisha nn unaposema "imani". Ila kama unamaanisha "faith" hivo hapa... Evolution sio faith
Evolution Theory ni Imani ndiyo maana kuna baadhi ya vitu haiwezi kuthibitisha.

Hivi ukiona hii phrase"It's believed that Billions years ago..." unaelewa Nini??

Evolution ni faith..... Maana kama unakumbuka ishu ya Uthibitisho wa Mitochondria kwamba haikua part of cell miaka Billions iliyopita.... Haujaweza kuthibitisha mpaka leo na hata Walio propose hawawezi kuthibitisha.
 
Tatizo umekariri Mzee.... Rudia tena kusoma Evolution Theory huenda ulichosoma kipo outdated..... Si unajua Evolution kila siku concepts zinabadilika.

Hivyo nilovyoandika ipo sahihi kabisa... Apes, Chimpanzee & Human beings inaaminika kwa mujibu wa Evolution Theory wanatokana na ancestor mmoja.... Kutoka kwa huyo ancestor ndiyo waka evolve Chimps, Human beings and other Apes.

Rudi tena kitabuni.
Ndioivo... ila unavosema apes na humans ni vitu viwil tofaut unakua unakosea..
 
Evolution Theory ni Imani ndiyo maana kuna baadhi ya vitu haiwezi kuthibitisha.

Hivi ukiona hii phrase"It's believed that Billions years ago..." unaelewa Nini??

Evolution ni faith..... Maana kama unakumbuka ishu ya Uthibitisho wa Mitochondria kwamba haikua part of cell miaka Billions iliyopita.... Haujaweza kuthibitisha mpaka leo na hata Walio propose hawawezi kuthibitisha.
There's a thin line between faith and belief. Hio ya mitochondria nishakuelezea kwann tunafikiria kua ilikua formed vile. Na njia pekee ya kuthibitisha hilo ni kuepo huo muda kipindi inatengenezwa.

Ndo nikakupa mfano wa mababu wa mababu zake babu yako. Unawezaje kuthibitisha kua walikuepo? Sini kwa kuangalia waty wengine wanavozaliana ivo tunaamini ndivo nao waliexist. Ila kuprove uwepo wao kwa 100% ni mpaka uwepo muda huo... same story na kwa mitochondria. We can test how it can be formed kwahy tunapredict kua ndio hivo ilivokua formed kitambo kile....
 
Ndioivo... ila unavosema apes na humans ni vitu viwil tofaut unakua unakosea..
Mimi kwa mtazamo wangu,... Apes na human beings ni vitu viwili tofauti.

Wewe kama unaamini asili yako ni Apes sio mbaya.

Hiyo Evolution Theory ni debatable Dunia nzima.... Maana kuna sehemu unaona kabisa inaongea uongo.. (Mfano mzuri, Theory of Use & Disuse)
 
Hizo story za Pandora, Epic of Gilgamesh, Vikings mpaka ishu za kina Anunaki nimezipitia lakini zenyewe hazijanishawishi kuziamini,.....

Lakini kupitia Qur'an nimepata pa Kushika....
Quran na vitabu vingine vyenye idea za adam na hawa zinasema dunia iliumbwa takriban miaka 6000 iliopita... na ilifanyika ndan wiki tu

Hii ni rahisi sana kudisprove... ndiomaana kuna takriban watu 4.4 bilion duniani wasioamin hizo stori..
 
There's a thin line between faith and belief. Hio ya mitochondria nishakuelezea kwann tunafikiria kua ilikua formed vile. Na njia pekee ya kuthibitisha hilo ni kuepo huo muda kipindi inatengenezwa.

Ndo nikakupa mfano wa mababu wa mababu zake babu yako. Unawezaje kuthibitisha kua walikuepo? Sini kwa kuangalia waty wengine wanavozaliana ivo tunaamini ndivo nao waliexist. Ila kuprove uwepo wao kwa 100% ni mpaka uwepo muda huo... same story na kwa mitochondria. We can test how it can be formed kwahy tunapredict kua ndio hivo ilivokua formed kitambo kile....
Kama njia pekee ya kuthibitisha ni kuwepo huo muda kipindi inatengenezwa., Basi kwa kuwa it's impossible kuwepo huo muda kipindi inatengenezwa.. Inamaanisha hatuwezi KUTHIBITISHA.

Pia umesema, Mitochondria ilitengenezwa?...... Unamaanisha ilitengenezwa na nani?
 
Mimi kwa mtazamo wangu,... Apes na human beings ni vitu viwili tofauti.

Wewe kama unaamini asili yako ni Apes sio mbaya.

Hiyo Evolution Theory ni debatable Dunia nzima.... Maana kuna sehemu unaona kabisa inaongea uongo.. (Mfano mzuri, Theory of Use & Disuse)
Ila kwa mtazamo wa uhalisia humans are apes na sio vitu tofaut. Huenda ww hujui hata maana ya apes ni nn. Ulisoma classification kwanza? Au hio topic uliiruka...

Tena theory ya use and dissuse ndio iko observevable kirahisi sana... na inaweza kuonekana in just a few generations kuliko kusema "vertebrates wote tulievolve kutokana na samaki"
 
Kama njia pekee ya kuthibitisha ni kuwepo huo muda kipindi inatengenezwa., Basi kwa kuwa it's impossible kuwepo huo muda kipindi inatengenezwa.. Inamaanisha hatuwezi KUTHIBITISHA.

Pia umesema, Mitochondria ilitengenezwa?...... Unamaanisha ilitengenezwa na nani?
Duh... nilikuelezea mwanzon huko.
 
Quran na vitabu vingine vyenye idea za adam na hawa zinasema dunia iliumbwa takriban miaka 6000 iliopita... na ilifanyika ndan wiki tu

Hii ni rahisi sana kudisprove... ndiomaana kuna takriban watu 4.4 bilion duniani wasioamin hizo stori..
Qur'an haisemi kwamba dunia iliumbwa miaka 6000 iliyopita.

Kitu Kingine fahamu kwamba, ukweli ni ukweli hata ukifuatwa na Mtu mmoja tu,..... Na uongo ni uongo hata ukifuatwa na zaidi ya watu 4.4 Billion.
 
Ila kwa mtazamo wa uhalisia humans are apes na sio vitu tofaut. Huenda ww hujui hata maana ya apes ni nn. Ulisoma classification kwanza? Au hio topic uliiruka...

Tena theory ya use and dissuse ndio iko observevable kirahisi sana... na inaweza kuonekana in just a few generations kuliko kusema "vertebrates wote tulievolve kutokana na samaki"
Kwanini nisijue maana ya Apes? Classification nimesoma pia.... Sio kila unachosoma/kufundishwa ni kweli.

Wewe umefundishwa kwamba Watu zamani walikua na mikia, ila kwa kuwa walikua hawaitumii mikia yao ikadhoofika na kutoweka.... Huu ni uongo without a doubts maana hata hao waliopendekeza hiyo theory tukiwaambia wathibitishe hawatoweza.
 
Qur'an haisemi kwamba dunia iliumbwa miaka 6000 iliyopita.

Kitu Kingine fahamu kwamba, ukweli ni ukweli hata ukifuatwa na Mtu mmoja tu,..... Na uongo ni uongo hata ukifuatwa na zaidi ya watu 4.4 Billion.
Fuatilia vizuri. Quran ilitabiri kutua kwa binadamu mwezini, unajua ilitabiri lini... unajua ilikosea kwa muda wa miaka mingapi. Ukipiga mahesabu vzr ya miaka utaona inadai gharika ilitokea miaka 5000 iliopita.. ukiendelea zaidi utaona uumbaji ulifanywa miaka 6000 iliopita..

Yan hii tu mm ilitosha kuniaminisha kua hivi vitabu vimetungwa. Na quran kikiwa cha mwisho kutungwa
 
Kwanini nisijue maana ya Apes? Classification nimesoma pia.... Sio kila unachosoma/kufundishwa ni kweli.

Wewe umefundishwa kwamba Watu zamani walikua na mikia, ila kwa kuwa walikua hawaitumii mikia yao ikadhoofika na kutoweka.... Huu ni uongo without a doubts maana hata hao waliopendekeza hiyo theory tukiwaambia wathibitishe hawatoweza.
Hii ni lugha tu blaza. Apes haimaanishi "manyani". Binadamu ni ape pia kwa lugha ya kawaida tu... na inabid uelewe kua binadamu hana upekee wowote ule bali ni mnyama kama wanyama wengine ivo kwenye classification haachwi nyuma. Kumjumuisha binadamu katk animal kingdom ndio kunasaidia kuelewa baadhi ya magonjwa na kutafuta tiba zake, hio ni faida moja tu.
 
Fuatilia vizuri. Quran ilitabiri kutua kwa binadamu mwezini, unajua ilitabiri lini... unajua ilikosea kwa muda wa miaka mingapi. Ukipiga mahesabu vzr ya miaka utaona inadai gharika ilitokea miaka 5000 iliopita.. ukiendelea zaidi utaona uumbaji ulifanywa miaka 6000 iliopita..

Yan hii tu mm ilitosha kuniaminisha kua hivi vitabu vimetungwa. Na quran kikiwa cha mwisho kutungwa
Mkuu, hakuna sehemu Qur'an imetabiri binadamu kutua mwezini..... Kama kuna Aya imesema hivyo unaweza kuweka hapa tuone.

Ngoja nikupe Informations uelewe vizuri....
✓Kwa mujibu wa Qur'an, ilipita miaka mingi sanaa, binadamu hakua kitu chenye kitajwa kwenye Dunia hii.. means hakuwepo/hakuwa ameumbwa which means Ulimwengu ulikuwepo hata viumbe wengine walikuepo ila mtu hakuwepo wala hata hakuwa kitu chenye kutajwa.

Qur'an 76:1 {"Has there not been over man a period of time, when he was nothing to be mentioned?" }

Tena kwenye hiyo Verse limetumika neno la kiarabu "Dahr" ambalo Linaonyesha ni kipindi kirefu sana kilipita Mtu akiwa Hana hata dalili ya kuumbwa.

Hivyo basi, kuchukulia kuumbwa kwa Adam Ili upate hesabu ya kuumbwa kwa Ulimwengu unakua umekosea,.. maana Ulimwengu na baadhi ya viumbe wengine uliumbwa kitambo sana then baadae Mtu ndiyo akaumbwa.
 
Hujakutana na conspiracy theorists ww...

It's absurd...
 
Okay.
Quran inasemaje kuhusu uumbaji... viumbe wangapi walianza kuumbwa kabla ya binadamu na kwa interval ya muda upi?
 
Back
Top Bottom