Naamini Yanga wanaenda kuwaduwaza wengi leo

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Kabla ya yote niwaambie wale wanaobet wasiwe na hofu kabisa
Moja ya mechi ambayo itawaduwaza washabiki wengi wa soka basi
ni hii ya leo dhidi ya Mwarabu ambaye anaenda kupigwa kwao.

Leo weka hata MKEO Yanga hafungwi abadani. Nitarudi hapa baada ya
mechi. Leo ni siku ambayo Fowadi ya Yanga itawaduwaza Watanzania Tena
ni maajabu ya Mwaka............. KESHO SIKU YA FURAHA.
 
Si vibaya kuota ndoto za jioni.
 
Yaani nasubili ushindi hapa nikiwa kwa wekundu camp Ghana kwa Martine mtata wa chips
 
Kwa anajua mpira inawezekana Yanga akashinda na kuendelea mbele ni kujipanga na sometime bahati inahitajika hasa ukiwa underdog
 
Labda kama tungekuwa tuna mwalimu aliyebobea kwenye mbinu, hapo sawa! Bahati mbaya Mwinyi Zahera ni aina ya wale walimu wa bora liende tu!

Na tukishafungwa, utamsikia "Booo" sijui nani yule amecheza hivi badala ya vile!! Kwa nini hukuchukua maamuzi mapema? Kama tuliwashindwa Zesco, basi Waarabu hatutawaweza. Mbaya zaidi historia inatuhukumu.

Muhimu ni kujiepusha tu na kipigo cha aibu cha mbwa mwizi kama walichokipata watani zetu simba msimu uliopita! Kila walipojaribu mechi za ugenini, ilikuwa ni mwendo wa mkono tu! aka Five o'clock.
 
Waarabu Hawa Hawa ambao tayari washafanya fitina Za kufa mtu
Washamuhonga referee
Wafanye Ujinga wa kufungwa na yanga

Kwanza team yenyewe ya kupata goal mbili away bila kuruhusu bao IPO wapi
Beki ya Kati ally ally na sonso pembeni Yule Marcelo na Juma Abdul

Kuweni serous watani [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi tshishimbi na zile kadi mbili za njano atacheza [emoji23]
 
Kwanza mpira unachezwa saa ngapi?
 
Tshishimbi hana kadi mbili na Lamine Moro anacheza
 
Amka mkuu usije limwaga kitandani.
 
Uzuri kuota ruksa kwa yeyote.
 
Ilishindwa kuwaduwaza Mwanza itaweza Cairo? Labda acheze Zahera
 
Mie nilitarajia utaanza wewe kumuweka mwenza wako.
 
Na kweli wamewaduwaza Wanayanga wenzao kwa kubamizwa jumla ya Goli 5-1,Zahera katika ubora wake
 
Pyramids 5 MENINA FC 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…