Naamka nakuta kaniblock

Naamka nakuta kaniblock

Hivyo tu unalialia! Je ungeamka ukajikuta amekuunga WhatsApp group la wajawazito?🤔
 
Njemba imekuzidi KETE Mkuu URIE TU! 🤣🤣🤣

Habari wakuu,

Nina mpenzi wangu ambaye nampenda kweli yaani, sasa tumeongea usiku huu kwenye saa mbili hivi akasema atanicheki, ikabidi nijipumzishe naamka usiku huu nakuta nimechezea block bila kujua nini chanzo dah, haya mapenzi haya dah [emoji1787]

Kapepo kumbe dalili uliziona muda mrefu maskiini...
Ila mapenzi hujua kutu blind mpaka hatuoni reality..!!

Move on mwaya, wanaume 'tumeumbwa' mateso..!
 
Acha asitarehe na mpenzi wake bwana, atakutafuta tu baadae akishatoka kwa mpenzi wake😂😂😂
 
Habari wakuu,

Nina mpenzi wangu ambaye nampenda kweli yaani, sasa tumeongea usiku huu kwenye saa mbili hivi akasema atanicheki, ikabidi nijipumzishe naamka usiku huu nakuta nimechezea block bila kujua nini chanzo dah, haya mapenzi haya dah [emoji1787]

Yani ukikuta kakublock na we li block Hilo likikuunblock likute limeblokiwa li mbwa hilo
 
Back
Top Bottom