Naandaa maandamano Mwanza kumuunga mkono Genta vs uongozi wa simba

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani

Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud Bashite wakiulizia kama nimeisoma nikwajibu yes, wakuliza unaamini? Nikasema yes kabisa Popoma Genta hakuna kitu lisilokijua nchi hii iwe muziki, siasa, michezo, uchumi yaani ni one man army

Mwisho wa mazungumzo yetu hayo tuka conclude kwamba next week tutafanya maandamno kumpongeza Popoma kwa kutuibia siri hizo 7 za nguvu.

Maandamano hayo yata demand vifuatavyo: MO DEWJI AONDOKE HARAKA, BARABARA AONDOKE, MANGUNGU AONDOKE, BAKHRESSA APEWE TEAM, MANARA ARUDISHWE, SENZO ARUDISHWE

zile exclusive siyo za nchii hii zina ukweli asilimia mia moja kwani baada ya popoma kuwasha moto jana fastafasta wakubwa huko msimbazi walikutana wakiwa katika hali ya taharuki kubwa

Simba hii miaka 4 ya Mo ni wastage of time tu bora achukue team Bakhressa kila mtu anaona azam fc inavyoendeshwa kisasa na mafanikio yake kama bus la kisasa

Senzo ni genius muda wake mchache alifanya makubwa sana simba, exclusive ya popoma imetuonyesha wapi panapovuja

Manara arudishwe haraka la sivyo tutashuka daraja

Popoma kawasha moto sisi tutamwagia petrol, VAYOLENSI IANZE HARAKA NA ITAANZIA MWANZA KWENYE MAANDAMANO
 
Mkuu Nashukuru na Akhsante kwa 'Credits' zako nyingi Kwangu ila tegemea kuanzia sasa kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE.

Kosa kubwa ulilolifanya hapa ni Kunisifia, Kusifia Uwezo wangu na uhakika wa yale yote Saba ( 7 ) niliyowaandikieni Jana.

Ukitaka Uzi wako Uchangamkiwe mno Nitukane au Nidhihaki au Nichafue au ponda sana Umaarufu wangu Uliotukuka ambao ni Chukizo kwa 'Critics' wangu.
 
Kuamini hizo "exclusives 7" za huyo popoma utakuwa na tatizo la udumavu wa akili, hauna kumbukumbu, na akili yako haina uwezo wa kuchambua mambo.

Kwa sababu hiyo sasa sishangai, kumbe ndio maana huko Kolomije mna kashfa za kufoji vyeti, nyie ni mapopoma wa hili taifa.
 
'Fame' na 'Natural Charm' yangu Vinakutesa na Vinawateseni sana nyie Waswahili Wapumbavu. Na hapa bado....!!!
 
Mkuu Nashukuru na Akhsante kwa 'Credits' zako nyingi Kwangu ila tegemea kuanzia sasa kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE.

Kosa kubwa ulilolifanya hapa ni Kunisifia, Kusifia Uwezo wangu na uhakika wa yale yote Saba ( 7 ) niliyowaandikieni Jana.

Ukitaka Uzi wako Uchangamkiwe mno Nitukane au Nidhihaki au Nichafue au ponda sana Umaarufu wangu Uliotukuka ambao ni Chukizo kwa 'Critics' wangu.
Acha ubwege Popoma ..

Hivi umeshindwaje kung'amua kwamba mleta mada ametumia sarcasm? Huoni km amekudhihaki na kukukejeli? Huoni km amekufanya km kichwa maji?

Acha uboya,rudia tena kusoma ..au umeranduka?
 
ushasema popoma yuko popote kwa hiyo hata huu uzi kaandika mwenyewe na baadhi ya comment anajijibu.
 
jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani

Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud Bashite wakiulizia kama nimeisoma nikwajibu yes, wakuliza unaamini? Nikasema yes kabisa Popoma Genta hakuna kitu lisilokijua nchi hii iwe muziki, siasa, michezo, uchumi yaani ni one man army

Mwisho wa mazungumzo yetu hayo tuka conclude kwamba next week tutafanya maandamno kumpongeza Popoma kwa kutuibia siri hizo 7 za nguvu.

Maandamano hayo yata demand vifuatavyo: MO DEWJI AONDOKE HARAKA, BARABARA AONDOKE, MANGUNGU AONDOKE, BAKHRESSA APEWE TEAM, MANARA ARUDISHWE, SENZO ARUDISHWE

zile exclusive siyo za nchii hii zina ukweli asilimia mia moja kwani baada ya popoma kuwasha moto jana fastafasta wakubwa huko msimbazi walikutana wakiwa katika hali ya taharuki kubwa

Simba hii miaka 4 ya Mo ni wastage of time tu bora achukue team Bakhressa kila mtu anaona azam fc inavyoendeshwa kisasa na mafanikio yake kama bus la kisasa

Senzo ni genius muda wake mchache alifanya makubwa sana simba, exclusive ya popoma imetuonyesha wapi panapovuja

Manara arudishwe haraka la sivyo tutashuka daraja

Popoma kawasha moto sisi tutamwagia petrol, VAYOLENSI IANZE HARAKA NA ITAANZIA MWANZA KWENYE MAANDAMANO
Hili dongo kichwa panzi hawez kukuelewa
 
Mkuu Nashukuru na Akhsante kwa 'Credits' zako nyingi Kwangu ila tegemea kuanzia sasa kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE.

Kosa kubwa ulilolifanya hapa ni Kunisifia, Kusifia Uwezo wangu na uhakika wa yale yote Saba ( 7 ) niliyowaandikieni Jana.

Ukitaka Uzi wako Uchangamkiwe mno Nitukane au Nidhihaki au Nichafue au ponda sana Umaarufu wangu Uliotukuka ambao ni Chukizo kwa 'Critics' wangu.
we kweli popoma , unakejeliwa halafu umeona unasifiwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16] aisee.....

Naonaumeamuakuandikauzinakuujibuwewemwenyewe
 
Acha ubwege Popoma ..

Hivi umeshindwaje kung'amua kwamba mleta mada ametumia sarcasm? Huoni km amekudhihaki na kukukejeli? Huoni km amekufanya km kichwa maji?

Acha uboya,rudia tena kusoma ..au umeranduka?
Ukioba unazungumzwa au unajadiliwa 24/7 JamiiForums jua Wewe una Tunu ( Shani ) nyingi za Baraka kutoka Kwake Mwenyezi Mungu.

Hivi ulitegemea kabisa Dame Fool kama Wewe uwe Maarufu and Talk of the Forum kama Mimi? Kwa huo ( huu ) Utaahira ulionao wa Kurithishwa na waliopoteza muda Wao kukuleta Duniani au?

MImi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?

Na hapa bado Kudadadeki........!!!!!!!!!
 
Acha ubwege Popoma ..

Hivi umeshindwaje kung'amua kwamba mleta mada ametumia sarcasm? Huoni km amekudhihaki na kukukejeli? Huoni km amekufanya km kichwa maji?

Acha uboya,rudia tena kusoma ..au umeranduka?
Ukiona ID ya njaakalihatari imeleta uzi inabidi mtu uchunguze kwa makini mara nyingi anapiga vijembe na kejeli kupitia gia ya kusifia..
 
Hivi ni nani asiyejua hiyo ni kampeni ya kumtoa Barbra na Mo Simba utafikiri wao wataweza kuendesha hata timu ya under 20. Kiuandishi, kihisia iko wazi mapopoma wanaendesha hiyo kampeni

Anyways mtajuana na makolo wenzenu
 
Back
Top Bottom