Naandamwa na Magonjwa mengi, furaha ya Maisha imeisha

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu,

Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.

Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
 
Mkuu pole sana.

Soma huu uzi ukiwa umetulia na tango au gimbi lako pembeni... Miujiza kuhusu therapy ya bamia

mungu akupe wepesi
 
Habar wakuu,

Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.

Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
HOW ACIDIC FOODS AFFECT THE BODY.jpeg

Mkuu pol sana kwa hayo maradhi yako una mtatizo ya kuzidi kwa wingi asidi mwilini mwako .Unakula vyakula vyenye Asidi nyingi ndio vikakusababisha wewe upatwe na hayo maradhi mwilini mwako. Usipo pona kwa dawa za hospitali nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Habar wakuu,

Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.

Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Pole sana kijana.
Fanya mazoezi kijana anza na kuswali sala tano kwa siku, zisikupite.

Mbona hayo mambo madogo kwa binaadam.
 
Habar wakuu,

Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.

Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Pole sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom