digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Tatizo lako litaisha ikiwa utadhibiti challenges za madonda ya tumbo, nimewahi kupata hali kama hiyo kwa sasa niko njema sana,jaribu kutibu changamoto hizo na mambo yote yatakwisha,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann umesema hivi ndugu?Punguza msongo wa mawazo roho mbaya usiwe na wivu chuki na maisha ya wengine.
Habari kaka,Habar wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.
Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Hakuna msaf dunian...acha mboyoyoHalafu ungama zambi zote uwe safi kabisa uliyemkosea muombe msamaha na uliyemzurumu mrudishie utakuwa na amani ya moyo
Tatizo lako kubwa ni mawazo, jitahidi uyashinde mawazo Kwanza mengine yatakwisha yenyewe...Habar wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.
Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Bado Hali yangu sio nzurUnaendeleaje? Mgonjwa
Pole sana...Bado Hali yangu sio nzur
Sasa boss mim namdonda ya tumboPole sana...
Anza therapy ya kunywa maji ya uvuguvugu...kila asubuhi anza na nusu lita...unaweza kuweka chungwa au limao maji yake...jitahidi kila siku itaboost imunity yako..mwili utajenga kinga na kupambana na magonjwa yanayokusumbua...fanya hivyo huku ukiendelea na dawa ulizopewa...
In God we Trust...
Basi usiweke limao...hayo maji ya uvugu vugu yana maajabu...huo moyo utakua vzr huwezi amini...Sasa boss mim namdonda ya tumbo
Vivimbe kwenye tenzi ndani vitaondoka kweliBasi usiweke limao...hayo maji ya uvugu vugu yana maajabu...huo moyo utakua vzr huwezi amini...