Naandamwa na Magonjwa mengi, furaha ya Maisha imeisha

Naandamwa na Magonjwa mengi, furaha ya Maisha imeisha

Habar wakuu,

Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.

Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Chagua miaka kama mitatu ukakae kijijini,kula vyakula vya asili na acha mambo yoyote yanayojihusisha na kuharibu afya,kunya maji mengi,fanya mazoezi na punguza mawazo,yaani ktk muda huo ondoa tamaa za maisha Kana kwamba utachelewa kufanikiwa, fanya ngono mala moja tu kwa mwezi,yamkini mwili utakaa sawa, Bawasili na Typhoid kaitibu kwanza maana zinatibika
 
Sio typhoid ni thyroids tezi shingo
 
Pole sana. Jihusishe na mazoezi kama una nguvu bado utakua sawa.
 
Habar wakuu,

Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.

Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Mwanadamu anaweza:

1: Kuumwa ugonjwa/magonjwa.

2: Kupata madhira kutokana na ugonjwa/magonjwa aliyonayo kimwili.

3: Kupata athari ya tiba kutokana na dawa husika juu ya ugonjwa/magonjwa.

4: Kuumwa athari ya kisaikolojia kutokana na hayo hapo juu kutokupata majibu sahihi au kutokuondoka mapema kwa kadri ya matarajio ya mwanadamu.

5: Kuumwa kitabia, kwa kufuata kasoro mojamoja ya mwili iwe ni ya kujisikia au kufikirika kwenda kutafutia majibu.

NB: Usipotulia na kupata ufumbuzi chini ya utaratibu/matalaamu wa afya na kufanya ufatiliaji uliotulia/ngazi kwa ngazi, mwisho huwa ni MKANGANYIKO na kujiona kama wewe ndo umeibeba dunia kwa matatizo.

Usishangae mtu kukikimbia hata kivuli chake.
 
Halafu ungama zambi zote uwe safi kabisa uliyemkosea muombe msamaha na uliyemzurumu mrudishie utakuwa na amani ya moyo
 
Mkuu zile dawa ulizopewa vipi maendeleo yake zinasaidia au??
 
Pole sana,kwa uwezo wa Mungu hakuna linaloshindikana...
 
Mkuu zile dawa ulizopewa vipi maendeleo yake zinasaidia au??
Dawa mkuu zinasaidia nikama buster ila inakuongezea Hali yakujiamin ila unaweza kua addicted nahizo dawa
 
Badilisha kula. Usitumie Sukari wala Chumvi

Asubuhi = Maji
Mchana = Salad na maji
Usiku = Matunda na maji

Mwezi mmoja angalia mabadiliko ukiona matokeo mazuri utajipangia jinsi ya kula.
 
Pole sana angalia chakula unachokula kwa umakini
Fanya mazoezi ya kutembea yanasaidia sana
 
Vuta Sana bangi drai,,,itakupa hamu ya msosi kula mnoo mapochopocho na matunda ya kutosha,,piga tizi kiasi,,jitahidi na zingatia kupumzika,,,Usisahau mvinyo na seksi kiasi na kwa wakati!!!###Dp World,,United For WildLife###
 
Back
Top Bottom