malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Ugonjwa upi wachina wamewezaTafuta tiba za Wachina. Wachina wameweza sana ugonjwa huu.
Otherwise nenda hospitali.
Bawasiri.Ugonjwa upi wachina wameweza
Nimewaona wakorea wakanipa dawa janaBawasiri.
Mkuu pole sana.Habar wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.
Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Habar wakuu,

Pole sana.Nimewaona wakorea wakanipa dawa jana
Ili kumsaidia zaidi, ni vyema ukamtajia hivyo vyakula ili aepukane navyo.Unakula vyakula vyenye Asidi nyingi ndio vikakusababisha wewe upatwe na hayo maradhi mwilini mwako
Pole sana kijana.Habar wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.
Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Pole sana sanaHabar wakuu,