Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
anatakiwa atibiwe amekula vyakula vimemletea maradhi hata akijiepusha kwa hivi sasa ni kazi bure atibiwe ili aweze kupona ndipo atakapo shauriwa kutokula vyakula vinavyo sababisha maradhi mwilini mwake.Ili kumsaidia zaidi, ni vyema ukamtajia hivyo vyakula ili aepukane navyo.
Chagua miaka kama mitatu ukakae kijijini,kula vyakula vya asili na acha mambo yoyote yanayojihusisha na kuharibu afya,kunya maji mengi,fanya mazoezi na punguza mawazo,yaani ktk muda huo ondoa tamaa za maisha Kana kwamba utachelewa kufanikiwa, fanya ngono mala moja tu kwa mwezi,yamkini mwili utakaa sawa, Bawasili na Typhoid kaitibu kwanza maana zinatibikaHabar wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.
Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Sio typhoid ni thyroids tezi shingoChagua miaka kama mitatu ukakae kijijini,kula vyakula vya asili na acha mambo yoyote yanayojihusisha na kuharibu afya,kunya maji mengi,fanya mazoezi na punguza mawazo,yaani ktk muda huo ondoa tamaa za maisha Kana kwamba utachelewa kufanikiwa, fanya ngono mala moja tu kwa mwezi,yamkini mwili utakaa sawa, Bawasili na Typhoid kaitibu kwanza maana zinatibika
Punguza msongo wa mawazo roho mbaya usiwe na wivu chuki na maisha ya wengine.Pole sana ndugu yangu, tumuombe sana mwenyezi mungu hii safar tupo pa1 na ni ngumu sana daa!😭😭😭😭 mi mwenyewe nateseka na ugonjwa usioonekana hata hospitalin upper back pain
Mwanadamu anaweza:Habar wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa midogo ya uume.
Furaha ya maisha kupotea ni mimi na kukimbizana hospitali.
Mkuu hivi Sina nimepima sana tuKapime HIV.
Dawa mkuu zinasaidia nikama buster ila inakuongezea Hali yakujiamin ila unaweza kua addicted nahizo dawaMkuu zile dawa ulizopewa vipi maendeleo yake zinasaidia au??
Kuna nini ambacho hukuelewaSio typhoid ni thyroids tezi shingo