M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Mwenye kuhitaji kuona kazi zangu ambazo nimesha-publish tayari katika Peer-revieved Journals anaweza kuni-PM and i'll be glad to share with him/her.
Salam wadau
Mimi ni mtanzania, pia nina Shahada ya Pili katika Management&Administration na pia najishughulisha na shughuli mbalimbali za utunzi wa vitabu na majarida ya kitaaluma (Academic Journal articles), kwa yeyote mwenye kuhitaji msaada wa kusaidiwa kuandikiwa/kuelekezwa jinsi ya kuandika Dissertation/Thesis, Research Report, Proposal na Conference paper kwenye area yoyote hususani kwenye area ya SOCIAL SCIENCES/HUMANITIES (Management, Administration, Development) please tuwasiliane (ani-PM)
Asante kwa responses! nilimaanisha kuelekeza jinsi ya kuandika na si kumuandikia mtu kimsingi sifanyi biashara bali ni katika kuelimisha jamii na kujenga jamii yenye kupenda kusoma/kufanya utafiti/kuandika/kuripoti matokeo ya utafiti. kiukwlei naumia jinsi watanzania tulivyo waoga katika kuandika/kuwasilisha matokeo ya utafiti katika mikutano na makongamano ya kimataifa so najaribu kuweka jitihada angalau kujenga uwezo kwa watanzania. NASISITIZA SIFANYI BIASHARA HUDUMA HII NI BURE kwa atakayehitaji na kwa muda maalum katika wiki maana nami nina ratiba binafsi so mlengwa itabidi akubaliane na ratiba zangu pia kwa kuanzia mtu anaweza kunitumia ABSTRACT ya kile anachotaka kukifanya then nitamjibu ndani ya siku 1 au 2 baada ya kuipitia hiyo ABSTRACT.
Iko poa, hivi unaweza kuandika abstract ukashindwa kuandika research report?Asante kwa responses! nilimaanisha kuelekeza jinsi ya kuandika na si kumuandikia mtu kimsingi sifanyi biashara bali ni katika kuelimisha jamii na kujenga jamii yenye kupenda kusoma/kufanya utafiti/kuandika/kuripoti matokeo ya utafiti. kiukwlei naumia jinsi watanzania tulivyo waoga katika kuandika/kuwasilisha matokeo ya utafiti katika mikutano na makongamano ya kimataifa so najaribu kuweka jitihada angalau kujenga uwezo kwa watanzania. NASISITIZA SIFANYI BIASHARA HUDUMA HII NI BURE kwa atakayehitaji na kwa muda maalum katika wiki maana nami nina ratiba binafsi so mlengwa itabidi akubaliane na ratiba zangu pia kwa kuanzia mtu anaweza kunitumia ABSTRACT ya kile anachotaka kukifanya then nitamjibu ndani ya siku 1 au 2 baada ya kuipitia hiyo ABSTRACT.
Kwa nini asaidiwe na wewe.Wewe ni nani aliyekusaidia.Salam wadau
Mimi ni mtanzania, pia nina Shahada ya Pili katika Management&Administration na pia najishughulisha na shughuli mbalimbali za utunzi wa vitabu na majarida ya kitaaluma (Academic Journal articles), kwa yeyote mwenye kuhitaji msaada wa kusaidiwa kuandikiwa/kuelekezwa jinsi ya kuandika Dissertation/Thesis, Research Report, Proposal na Conference paper kwenye area yoyote hususani kwenye area ya SOCIAL SCIENCES/HUMANITIES (Management, Administration, Development) please tuwasiliane (ani-PM)
Wewe Kilaza Mkubwa.Nyie ndio mnaocopy na kupaste.asante Sana Kaka kwa response yako.duuh sijawahi kuona Mtanzania mwenye roho ya kusaidia kama wewe. maana nilikuwa sijui pa kuanzia
Vilaza hutashindwa kuwajua humu.Blessings, hongera sana. Ngoja niku-pm. Lakini sisitiza kuelekeza watu jinsi ya kuandika na sio kuwaandikia. Ujuzi hauzeeki.
Vilaza wengi humu sijawahi onaIko poa, hivi unaweza kuandika abstract ukashindwa kuandika research report?