Naandika haya kwa uchungu sana

Joined
Oct 27, 2024
Posts
33
Reaction score
277
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.

Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake.

Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.

Ee Kijana wa kiume zingatia haya:

πŸ“Œ Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa

πŸ“Œ Hakikisha una marafiki wachache wazuri

πŸ“Œ Hakikisha una uhakika wa chakula mezani

Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.

Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 24, lakini kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake

😑😑 Kataa ndoa, chukua ndoa,😑😑
 
Bado hujawa na akili timilifu wewe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mzee wa below 24
 
Bado wewe ni mtoto ,mwanangu embu achana na habari za watu wazima ukikuwa utaelewa mwanangu
 
Mwanaume ukitaka maisha ya furaha, nunua gari lako la off road, liboreshe vizuuri anza kula off road trips na kukutana na wadau wa 4*4 Clubs mnapiga monde kidogo mawazo ya fedha sana hao ndio familia.

Ukisogea umri kidogo unampa mdada mliekutana huko zawadi ya mimba, usioe.

Ambania ndoto zako, ishi kwa raha na starehe kiasi kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…