joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unajua kwa nini,red card zote kabla kitoka lazima refa aka verify,ila goli kule kwenye control akiambiwa goli halali anaweka kati na pili wana saa zinavibrate mpira ukivuka mstari kwa asilimia mia. Mifano ipo mingi mojawapo ni goli la Newcastle zidi ya Arsenal,mchezaji wa Newcastle alicontrol mpira nje ya mstari na akaotoa assist likawa goli,ilailitakiwa kuwa goal kick.Ila red card kama refa hajaona lazima ataenda kwenye screen kuverify.kama kweny magoli inakosea kwan kweny Red card ishindwe kukosea makosa yapo mengi tu kam una time rudia kutazama mechi zote za ligi vizuri za msimu huu utakuna na hayo makosa maana inawezekana unangalia mechi za Big six tu
Kuhusu mechi ya jana ya City sijaona faulo ya red card.Halafu Jack Grealish hana madhara wala sio hatari anakabika vizuri kabisa, balaa lipo kwa Doku yule kadi nje nje.