Naangalia mpira hapa Alahly vs es setif. Hizi timu za hapa Tanzania zina safari ndefu sana ya kufikia hizi level za wenzetu CAF Champion League

Naangalia mpira hapa Alahly vs es setif. Hizi timu za hapa Tanzania zina safari ndefu sana ya kufikia hizi level za wenzetu CAF Champion League

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Live dk 18 .Al ahly vs es setif
Huu mpira umechangamka sioni hawa mapacha wa mchongo hapa mjini wakikanyaga hata nusu fainal labda baada ya miaka 20 kupita kitakapo kuja kizazi kingine tofauti na sio hiki cha promo za uongo na tambo za hovyo pamoja na uchawi.

Huu mpira ni speed akili nyingi na uwezo katika hizi timu hakuna mchezaji wa level ya Mzamiru, Mhilu, Ambundo, wala job wala paul godfrey boxer, hivi kweli unataka kufika nusu fainal una nchezaji kama Yusuf Athuman, Mwamnyeto, Jimmison Mwanuke, Sure boy kweli? kweli?

Watanzania tuna masihara sana na mpira, tunaupenda lakin tunauzungumza mdomoni.

Aya ngoja niendeleee kuangalia huu mpira.
 
Simba aliongoza kundi lenye Al Ahly
Mechi simba inaroga wiki nzima alafu unasema wameshinda.?? Angalia kwanza huu mpira alafu ndio utaona mpira wa simba upo karne ya 7
 
Setif wapo pungufu lakin mechi wanaitaka sana sana.ingekuwa timu za kibongo zisharudi nyuma na kula goli tano
 
Kolo alimpiga nyumbani goli moja, ugenini akala tano,Yanga alimfunga moja nyumbani na ugenini akafungwa moja wakatolewa kwa penalty
Wewe acha ukindiga Simba imekutana na Al-ahly mara ngapi kwenye mashindano ya Champions league kwa season nne alizo dominate na zote alifungwa tano Cairo?

Wewe kweli Gidembwe shubahamit
 
Back
Top Bottom