Naangalia mpira hapa Alahly vs es setif. Hizi timu za hapa Tanzania zina safari ndefu sana ya kufikia hizi level za wenzetu CAF Champion League

wewe ni shabiki maandazi kuna asiyejua kwamba team pekee isiyotumia chupli chupli ni yanga sc pekee? afrika nzima inajua simba ni magumashi tangu mwaka 74 wanaingia nusu fainali klabu bingwa afrika kwa kupulizia sumu wapinzani na usajili wao mbovu wa mafungufungu
Dogo kwa uzuri tu naomba usiwe unani quote sina vinasaba na wapumbavu please
 
2011 Simba aliifunga 2-0 hiyo Serif,ugenini Simba akafungwa 3-1. Simba akaitoa Serif kwa goli la ugenini.

Simba alishaongoza kundi lenye Al Ahly .

1)Simba 13 points

2)Ahly 11 points

Pia msimu huo Simba aliifunga Kaiser 3-0 kwa mkapa.

Kaize baadaye ikakutane na Ahly fainali. Simba ikawa ndio timu pekee kuzifunga finalist wa msimu huo

Hakika
 
Baada ya hapo akachukua kombe gani?
 
Back
Top Bottom