Naangalia mpira hapa Alahly vs es setif. Hizi timu za hapa Tanzania zina safari ndefu sana ya kufikia hizi level za wenzetu CAF Champion League

Acha kuwa mpuuzi! Mpira wa Tanzania ndio upo kwenye transition period kutoka kuwa burudani kwenda kuwa biashara!!. Ndio maana unaona uwekezaji ulipo Sasa ni TOFAUTI na miaka 10 nyuma. Upuuzi wa watanzania ni kudharau Cha kwao ili hali hawezi kuchangia timu yake hata kununua jezi original ya Tsh40,000.

Unataka timu iwe na mchezaji mwenye thamani ya billion wakati huo huwezi kuingia uwanjani hata kwa Tsh.10000?.
 
Nimetazama hiyo mechi. Wewe una matatizo. Mechi ya kawaida saaaana. Daaaah hata sikutegemea
Live dk 18 .Al ahly vs es setif
Huu mpira umechangamka .sioni hawa mapacha wa mchongo hapa mjini wakikanyaga hata nusu fainal labda baada ya miaka 20 kupita kitakapo kuja kizazi kingine tofauti na sio hiki cha promo za uongo na tambo za hovyo pamoja na uchawi.........! Huu mpira ni speed akili nyingi na uwezo .katika hizi timu hakuna mchezaji wa level ya mzamiru,mhilu,ambundo,wala job wala paul godfrey boxer ,.......hivi kweli unataka kufika nusu fainal una nchezaji kama yusuf athuman.mwamnyeto.jimson mwinuke,sure boy ...kweli??????? kweli ??????

Watanzania tuna masihara sana na mpira.tunaupenda lakin tunauzungumza mdomoni......!!!!

Aya ngoja niendeleee kuangalia huu mpira.
 
2011 Simba aliifunga 2-0 hiyo Serif,ugenini Simba akafungwa 3-1. Simba akaitoa Serif kwa goli la ugenini.

Simba alishaongoza kundi lenye Al Ahly .

1)Simba 13 points

2)Ahly 11 points

Pia msimu huo Simba aliifunga Kaiser 3-0 kwa mkapa.

Kaize baadaye ikakutane na Ahly fainali. Simba ikawa ndio timu pekee kuzifunga finalist wa msimu huo
 
Bajeti ya usajili kama ya Al Ahl unategemea mpira wa kuunga unga? Mtu anasajiliwa 1b+ unategemea nini
 
Soka la kisasa ni spidi,uwezo na akili.

Hapa unaona wachezaji wana cheza pasi wakiwa wamesimama na kwa kujiamini eti wana jua na kocha anawachekea tu!
Mimi kwa kocha kama wa Simba simuelewi na hata wanachomsifia sikioni.
Binafsi kama ninaona wachezaji wanacheza kizembe siwezi kukubaliana.Ni bora niache kufundisha iwapo wamegoma kufuata utaratibu
 
2011 Simba aliifunga 2-0 hiyo Serif,ugenini Simba akafungwa 3-1. Simba akaitoa Serif kwa goli la ugenini.

Simba alishaongoza kundi lenye Al Ahly .

1)Simba 13 points

2)Ahly 11 points

Pia msimu huo Simba aliifunga Kaiser 3-0 kwa mkapa.

Kaize baadaye ikakutane na Ahly fainali. Simba ikawa ndio timu pekee kuzifunga finalist wa msimu huo
Mkuu mpira ni strategy, Al Ahly wanacheza mipra wa malengo zaidi, embu fikiria Simba iliongoza kundi na waliifunga Al Ahly kwa Mkapa lakini ubingwa akachukua hao hao Al Ahly. Msimu huu kapigiwa ndani njena Mamelod halafu kashindwa kumfunga Al Hilal kwao kila mmoja alianza kudhani Al Ahly wamejichokea lakini ndio hao hao wanaocheza fainali. Mamelod ambao walimfunga Al Ahly nje ndani kaishia njiani katolewa.

Ulisema fulani tulimfunga sijui ngapi, hakuna kombe la kumfunga timu kubwa bali ni kucheza fainali na kushinda
 
Like Liverpool...🙌

Note: am not a Liverpool fan.
 
Acha kuwa mpuuzi! Mpira wa Tanzania ndio upo kwenye transition period kutoka kuwa burudani kwenda kuwa biashara!!. Ndio maana unaona uwekezaji ulipo Sasa ni TOFAUTI na miaka 10 nyuma. Upuuzi wa watanzania ni kudharau Cha kwao ili hali hawezi kuchangia timu yake hata kununua jezi original ya Tsh40,000.

Unataka timu iwe na mchezaji mwenye thamani ya billion wakati huo huwezi kuingia uwanjani hata kwa Tsh.10000?.
Leo ndo umeongea point tangu uingie humu jf.
 
Sasa umemuweka Mwinuke wa nini kwenye malalamiko yako? katoka Gwambina na kafika robo fainali ya shirikisho Afrika..uuliza hao wengine wana experience gani
 
Mkuu mpira ni strategy, Al Ahly wanacheza mipra wa malengo zaidi, embu fikiria Simba iliongoza kundi na waliifunga Al Ahly kwa Mkapa lakini ubingwa akachukua hao hao Al Ahly. Msimu huu kapigiwa ndani njena Mamelod halafu kashindwa kumfunga Al Hilal kwao kila mmoja alianza kudhani Al Ahly wamejichokea lakini ndio hao hao wanaocheza fainali. Mamelod ambao walimfunga Al Ahly nje ndani kaishia njiani katolewa.

Ulisema fulani tulimfunga sijui ngapi, hakuna kombe la kumfunga timu kubwa bali ni kucheza fainali na kushinda
Hao Al Ahly wanapata sana maamuzi ya utata on their favour CAF(Kacheki VAR ilivyowapa penalty mechi ya tatu Kutoka hii. Ndio maana ligi yao Egypt wananyooshwa.
 
Binafsi nilitamani kuona fainali ya Luanda vs setif lakini ndio hivyo tena timu zote mbili zimeambulia red card jana
 
2011 Simba aliifunga 2-0 hiyo Serif,ugenini Simba akafungwa 3-1. Simba akaitoa Serif kwa goli la ugenini.

Simba alishaongoza kundi lenye Al Ahly .

1)Simba 13 points

2)Ahly 11 points

Pia msimu huo Simba aliifunga Kaiser 3-0 kwa mkapa.

Kaize baadaye ikakutane na Ahly fainali. Simba ikawa ndio timu pekee kuzifunga finalist wa msimu huo
Hata Sherrif ya Banda iliifinga Real Madrid ,Mashujaa wali ifunga Simba unataka kusemaje sasa?
 
Back
Top Bottom