Live dk 18 .Al ahly vs es setif
Huu mpira umechangamka .sioni hawa mapacha wa mchongo hapa mjini wakikanyaga hata nusu fainal labda baada ya miaka 20 kupita kitakapo kuja kizazi kingine tofauti na sio hiki cha promo za uongo na tambo za hovyo pamoja na uchawi.........! Huu mpira ni speed akili nyingi na uwezo .katika hizi timu hakuna mchezaji wa level ya mzamiru,mhilu,ambundo,wala job wala paul godfrey boxer ,.......hivi kweli unataka kufika nusu fainal una nchezaji kama yusuf athuman.mwamnyeto.jimson mwinuke,sure boy ...kweli??????? kweli ??????
Watanzania tuna masihara sana na mpira.tunaupenda lakin tunauzungumza mdomoni......!!!!
Aya ngoja niendeleee kuangalia huu mpira.
Mkuu mpira ni strategy, Al Ahly wanacheza mipra wa malengo zaidi, embu fikiria Simba iliongoza kundi na waliifunga Al Ahly kwa Mkapa lakini ubingwa akachukua hao hao Al Ahly. Msimu huu kapigiwa ndani njena Mamelod halafu kashindwa kumfunga Al Hilal kwao kila mmoja alianza kudhani Al Ahly wamejichokea lakini ndio hao hao wanaocheza fainali. Mamelod ambao walimfunga Al Ahly nje ndani kaishia njiani katolewa.2011 Simba aliifunga 2-0 hiyo Serif,ugenini Simba akafungwa 3-1. Simba akaitoa Serif kwa goli la ugenini.
Simba alishaongoza kundi lenye Al Ahly .
1)Simba 13 points
2)Ahly 11 points
Pia msimu huo Simba aliifunga Kaiser 3-0 kwa mkapa.
Kaize baadaye ikakutane na Ahly fainali. Simba ikawa ndio timu pekee kuzifunga finalist wa msimu huo
Like Liverpool...🙌Soka la kisasa ni spidi,uwezo na akili.
Hapa unaona wachezaji wana cheza pasi wakiwa wamesimama na kwa kujiamini eti wana jua na kocha anawachekea tu!
Mimi kwa kocha kama wa Simba simuelewi na hata wanachomsifia sikioni.
Binafsi kama ninaona wachezaji wanacheza kizembe siwezi kukubaliana.Ni bora niache kufundisha iwapo wamegoma kufuata utaratibu
Leo ndo umeongea point tangu uingie humu jf.Acha kuwa mpuuzi! Mpira wa Tanzania ndio upo kwenye transition period kutoka kuwa burudani kwenda kuwa biashara!!. Ndio maana unaona uwekezaji ulipo Sasa ni TOFAUTI na miaka 10 nyuma. Upuuzi wa watanzania ni kudharau Cha kwao ili hali hawezi kuchangia timu yake hata kununua jezi original ya Tsh40,000.
Unataka timu iwe na mchezaji mwenye thamani ya billion wakati huo huwezi kuingia uwanjani hata kwa Tsh.10000?.
YANGA KASHAONGOZA KUNDI MARA NYINGI SANA KIHISTORIAKuna kombe la kuongoza kundi?
Kwa MChongo?! Lile goli la Miquison lamchongo!?Kwa mchongo
Hao Al Ahly wanapata sana maamuzi ya utata on their favour CAF(Kacheki VAR ilivyowapa penalty mechi ya tatu Kutoka hii. Ndio maana ligi yao Egypt wananyooshwa.Mkuu mpira ni strategy, Al Ahly wanacheza mipra wa malengo zaidi, embu fikiria Simba iliongoza kundi na waliifunga Al Ahly kwa Mkapa lakini ubingwa akachukua hao hao Al Ahly. Msimu huu kapigiwa ndani njena Mamelod halafu kashindwa kumfunga Al Hilal kwao kila mmoja alianza kudhani Al Ahly wamejichokea lakini ndio hao hao wanaocheza fainali. Mamelod ambao walimfunga Al Ahly nje ndani kaishia njiani katolewa.
Ulisema fulani tulimfunga sijui ngapi, hakuna kombe la kumfunga timu kubwa bali ni kucheza fainali na kushinda
alipewa kombe?YANGA KASHAONGOZA KUNDI MARA NYINGI SANA KIHISTORIA
Binafsi nilitamani kuona fainali ya Luanda vs setif lakini ndio hivyo tena timu zote mbili zimeambulia red card janaHao Al Ahly wanapata sana maamuzi ya utata on their favour CAF(Kacheki VAR ilivyowapa penalty mechi ya tatu Kutoka hii. Ndio maana ligi yao Egypt wananyooshwa.
Hata Sherrif ya Banda iliifinga Real Madrid ,Mashujaa wali ifunga Simba unataka kusemaje sasa?2011 Simba aliifunga 2-0 hiyo Serif,ugenini Simba akafungwa 3-1. Simba akaitoa Serif kwa goli la ugenini.
Simba alishaongoza kundi lenye Al Ahly .
1)Simba 13 points
2)Ahly 11 points
Pia msimu huo Simba aliifunga Kaiser 3-0 kwa mkapa.
Kaize baadaye ikakutane na Ahly fainali. Simba ikawa ndio timu pekee kuzifunga finalist wa msimu huo
Ndio mpira wa Africa nyie yenu hua hamuyaoni?Hao Al Ahly wanapata sana maamuzi ya utata on their favour CAF(Kacheki VAR ilivyowapa penalty mechi ya tatu Kutoka hii. Ndio maana ligi yao Egypt wananyooshwa.
Mara ngapi?Hata Sherrif ya Banda iliifinga Real Madrid ,Mashujaa wali ifunga Simba unataka kusemaje sasa?
Hata kama yetu yaoi hiyo haibadili ukweliNdio mpira wa Africa nyie yenu hua hamuyaoni?
Hata Sherrif walimpiga Real Madrid tena SpainMbona simba tulimpiga huyo aly ahly