Sasa unataka wakusifie wewe, au?
Mmeiharibu, akina nani hao?Tv yetu mmeiharibu mno aisee nadhani damage mliyofanya ni beyond repair.
Nimeuliza tu. Kwani umekasirika?Kuna mahali kasema hivyo?
Jr[emoji769]
Nimeuliza tu. Kwani umekasirika?
Mmeifanya TBC ionekane kituko mbele ya jamii mbaya zaidi mmeviminya vyombo binafsi vingine ili navyo vifananefanane na TBC ni Kama mnavyopanga mkakati wa kuzidhoofisha private schools ili zifanane na vituo vyenu vya kulelea binadamu mnavyoviita shule.Nimeuliza tu. Kwani umekasirika?
Vinawahusu nyinyi buku 7 wa @ VUTA NIKUVUTE!!Lala mzee vipindi vingine havikuhusu
Acha mawenge ya kuongea visivyoeleweka
Na mimi nimekujibu, tatizo liko wapi?Nini cha kunikasirisha sasa wakati nimekuuliza swali
Jr[emoji769]
Akina nani hao?Mmeifanya TBC...
Hana lolote huyo jamaa. Tusitishane.Magonjwa yako mtambuka yakikupeleka mochwari ndio utamtambua mshana Jr Nina lazima aichokoe Sana maaiti yako
Na mimi nimekujibu, tatizo liko wapi?
Sawa.Hakuna
Jr[emoji769]