Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya.

Muimbaji anasema watoto Sasa hivi madarasani hawakai chini kwasababu magufuli amefuta hili tatizo.

Pia Hilo jamaa Nene jeusi lenye mtambi linasema Sasa hatukopi Tena na bakuli la ombaomba liko kabatini. Ila ni Jana hapa tumeambiwa mkopo wa world Bank dola 500 tulizozililia unakuja.

Anyway nikusifu tu hapa hongera TBC.
Jirekodi na wewe kwenye tecno yako na weka yutubu ukimsifia dj.
 
Wacha niulize, hivi mtu akielezea ulioyafanya, anakuwa anakusifia,? Haijalishi mabaya au mazuri.

Wajuvi wa Mambo hasa Lugha, nijuzeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka wameifie mdee.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Si waseme tu ukweli kinachoendelea mahos,vituo, na zahanat kua siku izi Tunanua Madawa
 
Ko ulitaka asifiwe babaako?
NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya.

Muimbaji anasema watoto Sasa hivi madarasani hawakai chini kwasababu magufuli amefuta hili tatizo.

Pia Hilo jamaa Nene jeusi lenye mtambi linasema Sasa hatukopi Tena na bakuli la ombaomba liko kabatini. Ila ni Jana hapa tumeambiwa mkopo wa world Bank dola 500 tulizozililia unakuja.

Anyway nikusifu tu hapa hongera TBC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ulitaka wamsifie mbowe na genge lake

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom