Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Hiyo channel ya serikari unategemea nini waoneshe zaidi mzee wangu?
 
superbug,
Hicho cha kusifia Magufuli kila wakati ndiyo kilimliza Marine Hassan hadi hatimaye umauti ukamkuta. Kila akiangalia nguvu aliyoitumia kuifanya TBC iwe TV ya kisasa na ya ushindani, imegeuka kuwa praise and worship kwa mtu mmoja. #DrAyubRyobaMustGo
 
Hivi uta itenganisha vip TBC na juhudi za jiwe wewe.....

Ndiyo madhara ya corona kuzifungisha shule, wanafunzi wana angalia tv mpaka ucku wa manane.
 
Si boss wao,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo kama kipindi cha mobutu.
Ila huo mkopo wa benki ya dunia una msharti balaa wanatoa kwanza theluthi tena mwakana na wanaangalia imetumikaje ? Ndio wanaongezea nyingine.. ila na marekani amesema Tanzania wasipewe Mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…