barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Jirekodi na wewe kwenye tecno yako na weka yutubu ukimsifia dj.NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya.
Muimbaji anasema watoto Sasa hivi madarasani hawakai chini kwasababu magufuli amefuta hili tatizo.
Pia Hilo jamaa Nene jeusi lenye mtambi linasema Sasa hatukopi Tena na bakuli la ombaomba liko kabatini. Ila ni Jana hapa tumeambiwa mkopo wa world Bank dola 500 tulizozililia unakuja.
Anyway nikusifu tu hapa hongera TBC.
Kamanda mboweHiyo channel ya serikari unategemea nn waoneshe zaidi mzee wangu?
Hajalipia king'amuzi kwa muda mrefu so Chanell iliyobaki ni hiyo tu..
Nyie watagaji.Ndio akina nani?
Mbona unabinya pua, vipi?Unaonekana una sauti nyororo ukiwa pembeni ya harakaharaka
Hapo ndio unajiona mjanjaa, ha ha ha.At least wangemsifia mama yako
Wew ni vibwengu wenzakoMmeiharibu, akina nani hao?
Upuuzi mtupu.Wew ni vibwengu wenzako
Jibu lao hua ni fupi tu,TUNATEKELEZA.Si waseme tu ukweli kinachoendelea mahos,vituo, na zahanat kua siku izi Tunanua Madawa
Mabaya yapi hayo hua wanayaeleza?Wacha niulize, hivi mtu akielezea ulioyafanya, anakuwa anakusifia,? Haijalishi mabaya au mazuri.
Wajuvi wa Mambo hasa Lugha, nijuzeni
Sent using Jamii Forums mobile app
saa 7usiku unatazama tbc!? una upungufu wa madini joto wewe sio bure
NAANGALIA TBC MUDA HUU ANASIFIWA MAGUFULI TU na kwaya.