Naangalia TBC muda huu anasifiwa Magufuli tu

Ulitaka baba yako asifiwe ?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ooh! siangaliagi TBC sasa hicho kipindi umekionaje?
 
Wewe jamaa, safi Sana, kula like yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo channel na zingine za kipuuzi puuzi kama chanel 10 zote nimezikarantini kwenye king’amuzi changu maana zina brainwash watoto wangu.

kaziiiiiiiiiiiiiii kweli kweli....kule ile katuni yao inaitwa cjui bongo nini....mwanangu amezuzuka kabisa.....haelewi chochote sasa hivi.... πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
TBC ninayoikumbuka na kuitamani ni ile ya Tirdo Muhando...the guy was very smart and innovative...kilichobaki pale mmhh no comment...
 
Waambie waache kumsifu Magufuli..wampongeze zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…