Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Unataka kwa bei huku au ya mimi kukuuzia?Kuku mmoja ni kg ngapi na bei yake ipoje?
Ni wapi huko na bei zikoje Dar/Dod?Unataka kwa bei huku au ya mimi kukuuzia?
Uzito ni kuanzia 1.5kg mpaka 2kg inategemea na Hela yako.
Ahsante kaka kwa kuonesha utayari kwa kushirikiana kwenye biashara ni jambo zuriTUUNGANE TUFANYE KAZI NIPO SIMIYU
Unataka kununua kwa bei ya jumla rejareja?Ni wapi huko na bei zikoje Dar/Dod?
Unafatilia maisha ya wanaume wenzio?Usha toka Zanzibar mkuu
Sawa mkuu pamoja sana nashukuru sanaanzia dodoma kupata uzoefu kabla ya dar.
Mbona kama hajauliza vibaya mkuu?Unafatilia maisha ya wanaume wenzio?
Jitahidi kuwa na tabia za kiume japo mjomba wako ameshakuharibu tangu standard 7
Muda mwingine unapatwa na mithiani kwasababu ya kufatilia maisha ya watu haya unaniuliza mimi kuhusu Zanzibar kwanini usijiulize kuhusu Tukio lako la kuibiwa Hela kizembe
Watu kama nyie kuwajibimu ni kama nawapa brand ty nitokeee
Kaka sijakuuliza kwa Nia mbaya nashangaa unaanza Kuni attack masikini, Sasa mambo ya mjomba wangu yameingiaje hapa? Mi niona nyuzi zako zamani ulikua unahamasisha vijana waende Zanzibar Kuna fursa nikashanga Leo unaleta habari za kuku, kaka nikaona nikuulize kiundani sikujua kama utalipokea tofauti nisamehe ka nmekukera bro ishi sana.
0651532588, AlexanderUstaarabu wa hali ya juu, Weka namba uokote!
Unatangaza biashara na kuomba ushauri bado unafokea unaowaomba ushauri. Kweli wabongo wengi tuna changamoto ya afya ya akili.Sasa wewe inakusu Nini??
Unashangaa Nini unanilipia Kodi au unanilipia Hela ya kula mpka ushangae mimi kuondoka sehemu mmoja kwenda sehemu ingine?
Uniulize kiundani mimi nani yako??
Hizo tabia za umbea TU nitokee
Na huna huo ustarabu ambao una pretend kuwa nao shame on you
Haina shida muungwanaAhsante kaka kwa kuonesha utayari kwa kushirikiana kwenye biashara ni jambo zuri
Ila kwasasa sihitaji ushirikiano kwenye biashara ukifika wakati huo ntakutafuta kaka angu