Naanza biashara ya kuku, wapi nipeleke kati ya Dar es Salaam na Dodoma?

Naanza biashara ya kuku, wapi nipeleke kati ya Dar es Salaam na Dodoma?

Sasa wewe inakusu Nini??
Unashangaa Nini unanilipia Kodi au unanilipia Hela ya kula mpka ushangae mimi kuondoka sehemu mmoja kwenda sehemu ingine?
Uniulize kiundani mimi nani yako??
Hizo tabia za umbea TU nitokee

Na huna huo ustarabu ambao una pretend kuwa nao shame on you
Kwa tabia hizi, biashara ya kuku itakukata vibaya sana.
 
Kama nia yako ni kuuza na kupata faida Nenda sehemu hizi
Kahama (cdt sokoni)
Kakola (bulyanhulu sokoni)
Geita (nyakumbu sokoni)

Bei kuku anaanzia 18-50k inategemea na ukubwa.

Basi ukiona vpi nenda machimboni hasa msasa renzewe huko ukapige hela.

Mwisho wa kunukuu.
 
Nashukuru sana mkuu,
Sasa runzewe huko unaanzaje ni unskilled job au vipi mana Huwezi kwenda kichwa kichwa
 
Nashukuru sana mkuu,
Sasa runzewe huko unaanzaje ni unskilled job au vipi mana Huwezi kwenda kichwa kichwa
Kwenye machimbo hakuna formula kila siku ni sikukuu wewe ukifika na kuku wako watu wanajaa wenyewe unauza hata kama ni pembeni na barabara tu. Halikadharika na samaki huwa nafanya hivyo!
 
Kwenye machimbo hakuna formula kila siku ni sikukuu wewe ukifika na kuku wako watu wanajaa wenyewe unauza hata kama ni pembeni na barabara tu. Halikadharika na samaki huwa nafanya hivyo!
Mkuu umemaliza kila kitu kaka
Nasisitiza mke wako asiolewe siku ukifa ss kama rafiki zako.

Kama idea ingine naomba kaka mm ni jobless sugu
 
Mkuu umemaliza kila kitu kaka
Nasisitiza mke wako asiolewe siku ukifa ss kama rafiki zako.

Kama idea ingine naomba kaka mm ni jobless sugu
Machimboni ulokole upaki pembeni kwanza maana huko salamu ni Qumamake.
Idea nyingine utazikuta hukohuko mkuu. Sema unapaswa uwe na mikuku mikubwa mikubwa kama.chimbo limetema kabisa huwa hawajui kusema punguza
 
Habari...

Nipo mkoa wa Tabora nataka kufanya biashara ya kuku na kupeleka Dar es salaam au Dodoma je wapi ni sahihi?

Faida za Dodoma
Bei inaweza kuwa juu kutokana na nature ya watu wanaoishi huku(Target costumer ni mostly employed)

Ukaribu na Tabora kwa usafiri wa roli.

Faida ya Dar es salaam,
Faida za ni uhakika wa wateja.
Changamoto ni safari ndefu lakini pia usafiri kuku kuibiwq nk

Je nipeleke kuku wapi?
Uza kuku Dar mkuu. Dodoma hakuna wateja.
 
Back
Top Bottom