Naanza biashara ya kuku, wapi nipeleke kati ya Dar es Salaam na Dodoma?

Kwa uzoefu wangu na kitu Nina uhakika.
Dodoma ukipeleka kuku jiandae haswa kulia. Kwa sababu kuku ni wengi mno na Bei si kubwa.
Moja, Dodoma na Singida ni karibu na Dodoma inaitegemea singida kwa kuku na umbali si mkubwa. Kajaribu kufanya utafiti kwanza!!!! Na mahotelini mengi yameingia mkataba na watu wanapeleka kuku kwa oda.

Kama unaweza kupata kuku kwa wingi anzia hapo hapo peleka sokoni uza Bei ya jumla huku ukijifunza na kujiingiza kwenye mitandao wa wauza kuku utapata pa kuanzia
 
Live chicken kutoka Tabora mpaka Dar, naona hasara tuu hapo, tafuta namna nyingine ya kuuza hao kuku
 
Kwa Dar ni pazuri Sema kuna kuwa na changamot hii biashara nishaifanyaga kwa kukushuri ungetafuta soko kwanza kabla hujaanza kuwapeleka na ukitaka kufanya vizur tafuta hotel au shule hii inakurahisisishia soko la uwakiki lakini ukienda bila mfumo utakata mtaji kwanza matapeli wengi hasa ukiwapeleka sokoni huko ndio shida wataanza kupata magonjwa kama mafua wataanza kufa
 
nyie watu wa tabora mna matatizo, unamuuzia mtu kitu lakini bado pia roho inakuuma kwamba kwanini apate
 
hongera sana mkuu.
Umemjibu kwa hekima. unajua kudhibiti hisia
 
umeshaharibu uzi tiari.
 

Ustaarabu wa hali ya juu, Weka namba uokote!
Kaka unanicholesha sana tangu unitake niweke namba kimya, kaka sio poa kaka imeni pain sana kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…