muoga wa jf
Senior Member
- Jun 27, 2016
- 198
- 224
Sorry hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?wakuu nimkujaga humu chitchat kule mmu wanaboa saasa nimeanza kampeni kabambe ya kuvikera kuviuzi vizee vyote vya mmu na chitchat vinavyotaka vipewe ustaraabu sasa mutanitambua hasa huyu ushimene sijua na wenzake vinajifanya vikongwe etii haya ndo nimeanzaga sasa muniwlewe tyu tena xana xana
Jisia yangu ya nini mukuuKwny avatar ww ndio umemkalia mzee ben?!
Mimi nimeweka picha tyu xaxa niniKwny avatar ww ndio umemkalia mzee ben?!
Mimi nimeweka picha tyu xaxa nini
Huyu atakuwa "BISEXUAL"!Sorry hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Wewe kwani unashobo xana..vepee wewe hauna malinda niniNimependa ulivyokaa
Wewe kwani unashobo xana..vepee wewe hauna malinda nini
Wewe misi chaga sipambane na wewe tyu nakupendaga xaxa ujeheekheeee haya
Nataka nianze xaxa niko tayali kabixaaMkuu umepata challenge kubwa sana hii vita ya kupambana na wahenga haijawahi kumuacha mtu salama
Sent using Jamii Forums mobile app
HAYAKUHUSUKapambane na maisha, itakusaidia sana
na mimi nakupenda zaidiWewe misi chaga sipambane na wewe tyu nakupendaga xaxa ujehee
Utaaona tyyuu nakwambiaNa mwandiko mbaya hivi, sidhani kama watakoma kweli..
Nisaidiage basii kwa kamupeni yangu ya hivi vizeeena mimi nakupenda zaidi