Naanza kampeni ya kupambana na wahenga wa JF

Naanza kampeni ya kupambana na wahenga wa JF

Xana. .....xaxa. ..kexho

Nkiona mtu anatumia hizo xxxx naanza kumtilia Shaka mtumiaji na bahat mbaya akiwa wa kiume
Afadhari umeona ,
Kuna watoto wa Facebook wamehamia huku wanahalibu na mod wanawaacha tu.
 
wakuu nimkujaga humu chitchat kule mmu wanaboa saasa nimeanza kampeni kabambe ya kuvikera kuviuzi vizee vyote vya mmu na chitchat vinavyotaka vipewe ustaraabu sasa mutanitambua hasa huyu ushimene sijua na wenzake vinajifanya vikongwe etii haya ndo nimeanzaga sasa muniwlewe tyu tena xana xana
aisee mwandiko wako unanifanya ni imagine na saut yako[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom