Naanza kampeni ya kupambana na wahenga wa JF

Faizafoxy upowapi mtu anaharibu lugha yako ,wewe unalala tu.
 
Xana. .....xaxa. ..kexho

Nkiona mtu anatumia hizo xxxx naanza kumtilia Shaka mtumiaji na bahat mbaya akiwa wa kiume
Afadhari umeona ,
Kuna watoto wa Facebook wamehamia huku wanahalibu na mod wanawaacha tu.
 
aisee mwandiko wako unanifanya ni imagine na saut yako[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…