Ngumu kuamini mkuu lakini kama mfuatiliaji wa Azam TV utaanza kupata mashaka tu.Sasa hapo wanahujumu kivipi wakati mitambo imegoma..yani timu yake ashindwe kuionyesha labda siyo Bakhresa,ukiona wanaomba radhi ujue kweli kuna tatizo
Mimi baada ya Man U kufungwa, nimeamua kuweka mipira pembeni mpaka baadae usiku. Naangalia Movie sasa hivi na kuperuzi JF.Sidhani mkuu, nimeamua kuangalia mechi ya Mwadui FC na Stand United kule Mwadui.
Ubarikiwe sana!Pole, mie kipaumbele ni timu za nyumbani hasa Azam.
Ndo cha kushangaza. Iweje mawasiliano yawe bomba kijijini Mwadui halafu yakosekane jijini Mbeya? Timu inaanza kuhujumiwa na wale kama wa Jangwani (kamati za ufundi zilizokuwa zinakataa mechi zao kuoneshwa hai).Au tukio la tetemeko limechangia?..,