Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Leo VPL kituo cha Mbeya pana mechi kali na ya kuvutia kati ya Mbeya City na Azam FC lakini mpaka sasa saa kumi na moja na dakika tano kupitia Azam One wanaomba radhi eti technical difficulties zimesababisha mechi hiyo tusiione hali 'live'. Mmenikera mnoooooooooo.