Naanza kuamini kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi wanajutia sasa

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,250
Reaction score
5,509
Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.

Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu ulichokisusia?

Naamini wanajifunza kutokana na makosa na kususia hakutakuwepo tena
 
🚮🚮🚮
 
Akili za kuvukia Barabara hizi.
 
Maskin ya Mungu ,Bora hata hawakushirki maana Kwa Yale matokeo ya 98 % ilkua balaa
 
Duuu hapo ndio unaona umecheza bonge la mind gamešŸ˜šŸ˜‚. Yaani cdm wajute kutoshiriki huo upuuzi?
 
Mkuu leo utalipwa hela ya bure kiukweli, umeandika nini kwani? Nashauri leo usilipwe elfu 7 yako maana umeandika tu ilimradi uonekane uliandika mtandaoni upewe pesa yako huku hujawasirisha hoja yenye kueleweka na kujadiliwa na watu. Lumumba msimlipe huyu mleta mda, hajaleta hoja yoyote leo.
 
We ni bata
 
Unaona mbali wapi we chawa, unachoona ni tumbo lako tu na mlango wa choo.
 
Kwa hiyo kwa sababu chama cha Chadema hakikushiriki kwenye uchaguzi basi wanachama wake walipoteza haki zao kama raia za kupiga/kutopiga kura na kuuzungumzia uchaguzi? Aidha, Chadema hawakususia uchaguzi bali walikataa kuidhinisha taratibu za uendeshaji wake. Kwa kufanya hivyo Tume husika ikasema wamekosa sifa za kusimamisha wagombea katika uchaguzi. Huko sio kususia.

Amandla...
 
Kumbe na wewe ni mpuuzi kiasi hiki
 
Hivi kuna mtu mwenye akili anaweza kujutia kutohusika kwenye mauaji yale ya kutisha kwa ajili ya kupora haki ya wananchi kuchagua viongozi wao?

Yani wanashukuru sana kwa maono waliyopata ya kujitoa kwenye hiyo dhambi, abaki nayo malkia wenu tu usitie wasiohusika shombo

Taahira ndio anaweza kujuta kijana
 
Kulikuwa na uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…