badala ufurahi kwa ushindi wa asilimia 98 unawaonea Chadema huruma unaakili wewe kweliHapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu ulichokisusia?
Naamini wanajifunza kutokana na makosa na kususia hakutakuwepo tena
Kumqmqke. Kwa hiyo umeona umeandika bonge la point?Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu ulichokisusia?
Naamini wanajifunza kutokana na makosa na kususia hakutakuwepo tena
Wewe hufurahii? Kipi kinakuuma? Ccm ndio wanajuta kwanini chadema hawakushiriki uchaguzi haramu.Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu ulichokisusia?
Naamini wanajifunza kutokana na makosa na kususia hakutakuwepo tena
wanatamani wangepata ata mbunge mmoja 🤣Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu ulichokisusia?
Naamini wanajifunza kutokana na makosa na kususia hakutakuwepo tena
upimwe marinda wewe sio bureHapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu ulichokisusia?
Naamini wanajifunza kutokana na makosa na kususia hakutakuwepo tena
Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu ulichokisusia?
Naamini wanajifunza kutokana na makosa na kususia hakutakuwepo tena
Mama yenu anaomba ingewezekana kurudisha nyuma mikono ya majira angeirudisha tarehe 29 ili afanye maamuzi ya hekima, ila ndio basi tena muda ni mshale ukishatoka alani huangukia mbali na upinde. Kituo kinachofuata ICCHapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu ulichokisusia?
Naamini wanajifunza kutokana na makosa na kususia hakutakuwepo tena
Pale Bunda mjini kata nzima zilipigwa kura za urais 25, makada wa ccm wakapewa 2.5m wakaanza kujaza fomu kwa kutiki upande wa wagombea wa ccm hadi zifike 98%.Sasa mkuu unadhani CHADEMA hata wangeshiriki wangeambulia nini kwa huu uhuni uliopo kwenye chaguzi zetu.
Wakati mwingine tuwe wakweli tusiendeshwe na ushabiki na mihko utadhani mbwa yuko kwa heat periods.
Mimi mwaka Jana nilisimamia uchaguzi wa serikali za mitaa,kura feki zilikuwa nyingi sana na Tena unalazimishwa na mkurugenzi , kitendo kile kiliniuma sana,nikaapa kutokusimami uchaguzi Wala kushiriki uchaguzi wowote hadi tutakapokuwa siriazi
Bila shaka Unatumia makalio kufikiria !!Hatuna mwana CCM Mwenye akili na ELIMU Kwa sasa wote mnaendeshwa na fedha na madaraka.Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.