Lakini wamerudi wale wale walioshindwa hapo zamani.Asante sana Mama Samia kwa kulifanyia kazi suala la Tanesco na Wizara ya Nishati kama tulivyoshauri humu!
Hatua zilizochukuliwa za kuondoa defectors kuanzia Wizara ya Nishati hadi Tanesco ni hatua sahihi zilizochukuliwa kwa wakati sahihi.
Safisha defectors wote serikalini
naam
Lakini wamerudi wale wale walioshindwa hapo zamani.
Akina Mafulu akina Mchechu
Mbona mnapenda sana kuficha udhaifu wa kiuongozi na kimaono kwa huyu mama kwa kuwasingizia watu wengine? Kwani Magufuli alifanyaje mpaka Umeme usikatike na mama ameshindwaje?Walianza ushenzi sana! Eti kipindi cha Magufuli hakukuwa na kukatika kwa umeme! Ila Mama wa watu kashika tu usukani wakaanza kukata umeme hivyo hovyo. Chuki zao tu kumfitinisha Mama na Watanzania
Huyu Mtu anayeitwa Magufuli atakutesa hadi siku utakapoingia kaburini ndio utakuwa na Amani.Walianza ushenzi sana! Eti kipindi cha Magufuli hakukuwa na kukatika kwa umeme! Ila Mama wa watu kashika tu usukani wakaanza kukata umeme hivyo hovyo. Chuki zao tu kumfitinisha Mama na Watanzania
Ananitesaje? Mbona nina amani sana kwenye maisha yangu? Naona mnaumia sana mbinu zenu ovu kugundulika?? Na bado!!Huyu Mtu anayeitwa Magufuli atakutesa hadi siku utakapoingia kaburini ndio utakuwa na Amani.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kwani kuna kitu hakifanyiki sasaivi mpaka umeme ukatike?Mbona mnapenda sana kuficha udhaifu wa kiuongozi na kimaono kwa huyu mama kwa kuwasingizia watu wengine? Kwani Magufuli alifanyaje mpaka Umeme usikatike na mama ameshindwaje?
Huwezi kuwa na Amani kwa aina hii ya maisha unayoishi!Ananitesaje? Mbona nina amani sana kwenye maisha yangu? Naona mnaumia sana mbinu zenu ovu kugundulika?? Na bado!!
Mark my words! Nina amani sanaHuwezi kuwa na Amani kwa aina hii ya maisha unayoishi!
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
lazima wanyooke tu si kwa mwendo wa mama SSHKuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni
1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya Nishati wapo kimya
2. Yanayoendelea CCM. Kwa sasa huko Ccm kuna defectors , wanajulikana na motive yao inajulikana. Yaliyoandikwa kwenye gazeti la uhuru mpaka likafungiwa hayakuandikwa kwa bahati mbaya
Ushauri kwa Mama
1. Fanya kazi na loyalist wako, wanaokusikiliza na kukuheshimu. Fanyia kazi kundi linalotaka kukuhujumu. Anzia na Tanesco na Wizara ya Nishati
2. Kuna Royalist wa Mtangulizi wako hawako tayari kufanya kazi na wewe. Piga chini weka wengine.
3. Itumie idara vizuri na wajipange vizuri dhidi ya hawa watu
Tusiwe na roho ya kupenda viwe vyetu tu vikienda kwa wengine nongwa hii ni roho ya kichawi.Mark my words! Nina amani sana
Wanamchukulia Poa sana Mama. Wakiona anaongea kiupole wanaona wanaweza kumwendesha Kama wapendavyo.lazima wanyooke tu si kwa mwendo wa mama SSH
Hapana nina roho Nzuri sana! Ila tabia ya mtu anafanya hujuma kwa nchi ili kumkomoa Mhe Rais haifai hata kidogoTusiwe na roho ya kupenda viwe vyetu tu vikienda kwa wengine nongwa hii ni roho ya kichawi.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Wanadhani wataweza kumuhujumu Mama. Kumbe wanachorwa tu!Tumu Magu wanajitutua ila wanaminywa...hii katiba mtu aliwa Rais wewe uwe mpole tu.
Slow slow anajitahifi kutoa hisia zake ila hqmna kitu..namshauri aje kujiunga nasi kudai katiba mpya ambayi yeye alikuwa mjumbe.
Hii nchi mtu akishaapiswa tu kuwa Rais ni nusu muumba...
Katiba hii siyo kabisa, hao wna CCM ambao wanadhani wanaweza kumhujumu Mama Samia wanajisumbua bure...ana mamlaka yoote ndani ya nchi hii.
Sidhani kama una roho nzuri kama unavyoiandika, una chuki ya kiwango cha juu sana kwa Watanzania wenzako.Hapana nina roho Nzuri sana! Ila tabia ya mtu anafanya hujuma kwa nchi ili kumkomoa Mhe Rais haifai hata kidogo
Loyal=aminifuhao ''royalist'' ni watu watu gani tena jamani? Tuna utawala wa kifalme Tanzania?
Chuki gani? IsemeSidhani kama una roho nzuri kama unavyoiandika, una chuki ya kiwango cha juu sana kwa Watanzania wenzako.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
lkn bado kuna changamoto kubwa.. mama asipokua makini inchi itamshinda. amini kwambaWanamchukulia Poa sana Mama. Wakiona anaongea kiupole wanaona wanaweza kumwendesha Kama wapendavyo.
Kumbe Mama yuko vizuri na watanzania WAZALENDO tunaoipenda nchi na sio watu wala makabila tupo kwa ajiri ya kuitetea nchi yetu kwa kushauri vizuri kwa mustakabali wa Taifa letu!
Hapana! Haiwezi kumshinda. Amini nakwambia ni kikundi cha watu wachache ila kwa jinsi Mungu anavyoipenda Tanzania hawatafanikiwalkn bado kuna changamoto kubwa.. mama asipokua makini inchi itamshinda. amini kwamba