Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Mbona huja mlenga Siro jiwe la kichwa? Mwambie Mama kwamba Siro ni tatizo. Yeye na kikosi chake bado wana bambika watu kesi. Wana vamia mikutano ya ndani. Wana hujumu uchumi kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Kula kichwa chakeKuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni
1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya Nishati wapo kimya
2. Yanayoendelea CCM. Kwa sasa huko Ccm kuna defectors , wanajulikana na motive yao inajulikana. Yaliyoandikwa kwenye gazeti la uhuru mpaka likafungiwa hayakuandikwa kwa bahati mbaya
Ushauri kwa Mama
1. Fanya kazi na loyalist wako, wanaokusikiliza na kukuheshimu. Fanyia kazi kundi linalotaka kukuhujumu. Anzia na Tanesco na Wizara ya Nishati
2. Kuna Loyalist wa Mtangulizi wako hawako tayari kufanya kazi na wewe. Piga chini weka wengine.
3. Itumie idara vizuri na wajipange vizuri dhidi ya hawa watu
Wanamchukulia poa sana Mama! Ngoja awanyooshe 🤣🤣Ahahhahaha, mama hafoki wala kutokwa povu. Yeye kashasema itafika kalamu yaani vitendo tu. Tena huyu ndo mbaya kuliko yule wa kufoka na vitisho. Ona alivyowaadabisha chama cha ukombozi mpaka wamepoteana. Na timh jiwe wote kama mbweha jangwani.
Kesi zinahujumu kivipi uchumi?Mbona huja mlenga Siro jiwe la kichwa? Mwambie Mama kwamba Siro ni tatizo. Yeye na kikosi chake bado wana bambika watu kesi. Wana vamia mikutano ya ndani. Wana hujumu uchumi kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu. Kula kichwa chake
Eti unasemaje? Mwendakuzimu wa nani? Yaani yule dhalimu unayekesha ukimsubiria afufuke? Kama ni huyo hafufuki ng’o!Mwendakuzimu wako akikutandika akiwa hai na bado anakutandika akiwa mfu!
Wana shida sana hawa chato gangEti unasemaje? Mwendakuzimu wa nani? Yaani yule dhalimu unayekesha ukimsubiria afufuke? Kama ni huyo hafufuki ng’o!
Eti huko aliko i anatutandika! Acha utoto wewe mfuasi wa shetani, kama ni huyo mbona hivi sasa keshaoza huko Chato?
Adui wa taifa hili ni CCM, period!
Acha wanyooshwe, ndio nchi inavyotakiwa kuwa! Ukizingua nakuzingua, hivyo tu!Ugomvi wa kijinga na upinzani hautamsiadia Mama angeacha kufuata nyayo za hayati kwenye hili
Acha wanyooshwe, ndio nchi inavyotakiwa kuwa! Ukizingua nakuzingua, hivyo tu!
Atakaezingua nae atazinguliwa. Mama hataki fitna wala majungu wala hujuma!Ngoja tuone sasa itakuaje...
Napenda anavyoongea, hana haraka...Atakaezingua nae atazinguliwa. Mama hataki fitna wala majungu wala hujuma!
Anataka matokeo tu! Na matokeo ni wananchi kupata huduma bora muda wote!
statistics zitaonyesha muda sio mwingiHapana! Haiwezi kumshinda. Amini nakwambia ni kikundi cha watu wachache ila kwa jinsi Mungu anavyoipenda Tanzania hawatafanikiwa
Mbona umeme bado unakatika hata sasa umeme umekatwaKuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni
1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya Nishati wapo kimya
2. Yanayoendelea CCM. Kwa sasa huko Ccm kuna defectors , wanajulikana na motive yao inajulikana. Yaliyoandikwa kwenye gazeti la uhuru mpaka likafungiwa hayakuandikwa kwa bahati mbaya
Ushauri kwa Mama
1. Fanya kazi na loyalist wako, wanaokusikiliza na kukuheshimu. Fanyia kazi kundi linalotaka kukuhujumu. Anzia na Tanesco na Wizara ya Nishati
2. Kuna Loyalist wa Mtangulizi wako hawako tayari kufanya kazi na wewe. Piga chini weka wengine.
3. Itumie idara vizuri na wajipange vizuri dhidi ya hawa watu
Mbona umeme bado unakatika hata sasa umeme umekatwa
Yere yereKuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni
1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya Nishati wapo kimya
2. Yanayoendelea CCM. Kwa sasa huko Ccm kuna defectors , wanajulikana na motive yao inajulikana. Yaliyoandikwa kwenye gazeti la uhuru mpaka likafungiwa hayakuandikwa kwa bahati mbaya
Ushauri kwa Mama
1. Fanya kazi na loyalist wako, wanaokusikiliza na kukuheshimu. Fanyia kazi kundi linalotaka kukuhujumu. Anzia na Tanesco na Wizara ya Nishati
2. Kuna Loyalist wa Mtangulizi wako hawako tayari kufanya kazi na wewe. Piga chini weka wengine.
3. Itumie idara vizuri na wajipange vizuri dhidi ya hawa watu
Mama kakunjua makucha sasaYere yere
Yaani wanahahaMama kakunjua makucha sasa
Wise men wa makamoKuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni