Naanza kuamini tetesi uwanja uliofanyiwa marekebisho umewakataa simba kiroho, ndumba kuu za simba zilifukuliwa na kuchomwa, tutaona mengi sana

Hapo kwa Mkapa kabla ya ukarabati Simba alipigwa chuma tatu bila na Raja Casablanca.
 
Sometimes huwa huelewagi hadi unashangaza.

Wale wazee wanacheza mpira gani???

Hata uwe na kamati 100000
Kama usajili ni Mbovu uwekezaji wa mchongo zitafika hata goli 10
HII YOTE NI AFRICAN SOCER SHOW
MPIRA WETU KIVYETU VYETU.

hawa wazee watakuwa na maamuzi makubwa , Watapiga sana pesa. Na hakuna timu itafanikiwa dhidi simba mbaka uchaguzi ujao.

1. Tuseme tu ukweli simba ikiwa pamoja hakuna timu inaweza ikapata hata sare kwa mkapa.
Eg RAJA na Alhly

2. Ogopa sana KAULI MBIU YA NGUVU MOJA.

3. Mo ameona matokeo si mazuri ndani na nje ya Klub mambo hayaendi kabisa (kukosa ubingwa 2 years)

4. Haya majeraha ya mala kwa mala ya wachezaji muhimu Manula Inonga, phiri aubin Kramo si kitu cha kawaida (gizani).

5.Sajili mbovu na kufungwa giza kwa Baadhi ya wachezaji.
Ayoub,Kramo,Saido,Miqui nk.

6. Baadhi ya wazee wanavyoamini wao wanasema wamepeleka mpira wa simba jangwanj kwasababu ya majeraha ya vyeo na makovu ya chaguzi.

Kama hawa wazee wote walioteuliwa wakikubaliana NGUVU MOJA.
Kila kitu simba kitakwenda sawa yatarudi yale ya Ubingwa mala 4 mfululizo.
Itarudi simba ya Biriani na lunyasi.

TUTEGEMEE SIMBA YENYE MAFANIKIO ZAIDI.
Quote
 
Kwa maneno yako haya,hao Wazee walikuwa wanacheza namba ngapi uwanjani CAPO DELGADO
 
Simba imesajili wachezaji mizigo.

Yanga imesajili wachezaji Bora full stop.....
simba waliiba kitu wasichojua matumizi yake, halafu wakajisifu, ona sasa.

ukuta wa jericko jana ulikuwa ukuta wa biskuti, ukiumwagika maji unapukutika pukuti.
 
Sometimes huwa huelewagi hadi unashangaza.

Wale wazee wanacheza mpira gani???

Hata uwe na kamati 100000
Kama usajili ni Mbovu uwekezaji wa mchongo zitafika hata goli 10
jana zilitakiwa ziwe saba, basi tu Mungu alikuwa upande wenu.
 
Hawawezi kuwa kitu kimoja ,Mkuu maana kila mtu hapo ana mtazamo na sera yake, Mwekezaji na baadhi ya wajumbe wa kamati walishapishanaga kisera na mtazamo juu ya muundo wa klabu
 
Kaka unatumia ICBM kuua nzi.

Hii silaha inayotumia ni kubwa sana.

Soon huyu jamaa anaenda kua kama Muha-sibu.
 

Bado ni mchakato mzee....

Maendeleo ni ongoing prosess sio kitu cha siku moja wala mbili

Ndio maana huwa nina mashaka na uelewa wako??????

Hapo ilipo simba imesajili????
Simba imebadili kocha??????

Hata vikao havijaanza wewe unataka mafanikio shame........
 
Jibu swali,hayo uliyoandika hapo kuhusu hao Wazee,je wanacheza namba ngapi?
 
Tatizo Simba wote mnaamini ushirika kuliko uongozi bora,benchi bora la ufundi na wachezaji bora. Kama hamtahama huko mlipo kila siku mtatafuta wachawi. Nikikuuliza embu nionyeshe kipengele kwenye katiba yenu kinachoruhusu kuwa na baraza la kumshauri Mwekezaji hutaweza kunipa icho kifungu.
 

 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]........
Ila watu kwa kutunga movie!!

Utafikili ni kweli..
Duh!
 
Mpira ungekuwa uchawi Nigeria wangechukua kombe la dunia,au sumba wanga wangekuwa na timu hatarii,hao wenyewe mashujaa wanakula tatu tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…