Naanza kufanya ziara kwa kila mwana jf

Naanza kufanya ziara kwa kila mwana jf

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nimeandaa ziara kubwa ya kihistoria kwa kumtembelea kila mwana jf nyumbani kwake/kwao.hivyo Kama utapenda nikutembelee mahali ulipo,iwe Ni sehemu yako ya kazi au nyumbani wasiliana nami kupitia PM Ili nikupangie tarehe.na ni kwa wanajf waliopo dar tu.hakikisha siku hiyo unaninunulia lunch meal na kunipa nauli ya kurudi home.mwaka huu mgumu Sana kwangu.maisha yashakuwa magumu nimegundua fursa ipo jf.kila mtu Sasa hivi ana madeni ila wana jf maisha yao kidogo sio mabaya Sana wengi humu Ni maofisa wa serikali hawawezi kushindwa kuniachia 5000 nikiwatembelea na hasa ukizingatia Mimi Ni superstar humu ndani.wakuu me Sina hela sitaki kuelewa niombeeni kwa Mungu nisirudi mkoa mwaka huu. maana bush maisha ndo mtihani Borea town kidogo.
 
Wazo zuri kabisa, ndio maana huwa naamini majiniazi wengi wapo AFRIKA, Yaan kwa kukosa hela tu cheki akili mzuri uliyoipata na tukishikamana katika hili unaweza kupata mtaji mzuri kabisa na JF ikawa imefanya historia katka maisha yako
Naanza na mimi njoo kazin kwangu, ila hujasema nauli ya kutoka huku makwetu hadi kwenu wapi isije ikawa upo marendego hukoo
 
Niko mjini brother.nathamini Sana ukaribisho wako Niko Mandela road.
 
Dah, karibu sana sana, naingia DAR usiku wa leo kutoka Mambwemkoswe....karibu sana sana hapa Malambamawili
 
Mfano ukamtembelea mwanaume akakwambia ulale kwake,utakubali?!
 
Back
Top Bottom