ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimeandaa ziara kubwa ya kihistoria kwa kumtembelea kila mwana jf nyumbani kwake/kwao.hivyo Kama utapenda nikutembelee mahali ulipo,iwe Ni sehemu yako ya kazi au nyumbani wasiliana nami kupitia PM Ili nikupangie tarehe.na ni kwa wanajf waliopo dar tu.hakikisha siku hiyo unaninunulia lunch meal na kunipa nauli ya kurudi home.mwaka huu mgumu Sana kwangu.maisha yashakuwa magumu nimegundua fursa ipo jf.kila mtu Sasa hivi ana madeni ila wana jf maisha yao kidogo sio mabaya Sana wengi humu Ni maofisa wa serikali hawawezi kushindwa kuniachia 5000 nikiwatembelea na hasa ukizingatia Mimi Ni superstar humu ndani.wakuu me Sina hela sitaki kuelewa niombeeni kwa Mungu nisirudi mkoa mwaka huu. maana bush maisha ndo mtihani Borea town kidogo.