Shia wamefundishwa kuwa watiifu kwa Iran.πππ
Hawa jamaa huwa wanawasiliana kupitia channel maalum ambazo taarifa zake haziji maa nyingi kwenye mainstream media.Hiyo yako ni conspiracy theory iliyoibuka kwenye mtandao baada ya watu kuona mazayuni hawarudishi mapigo.
Ukweli ni kuwa mazayuni mavi debe.
Unamaanisha dini maeneo hayo zinatumiwa kisiasa zaidiShia wamefundishwa kuwa watiifu kwa Iran.
Salafi/Answar Sunna wamefundishwa kuwa watiifu kwa utawala wa Saudi Arabia.
Hao wote jinsi walivyo ni kama jeshi la akiba kwa hao watawala wa hayo mataifa.
Yup!Unamaanisha dini maeneo hayo zinatumiwa kisiasa zaidi
Ni kweli, Kuna kipindi Iran na Israel walikuwa na ukaribu sana, na tenda nyingi za majengo makubwa walifanya kazi jamaa kutoka uyahudi. Ila nmnimeona Saudia imekuwa ikitimika kukusanya taarifa za kiintelijenisia iran na kushare na wayahudi. Hawa jamaa wote naamini kuna layer flani wanΓ wasiliana na wanajuana ukiacha layer hii ya taarifa tunazopewa.Yup!
Wanazitumia kisiasa.
Ukitaka kuliona hili kwa wazi jiulize kwa nini Saudi Arabia ime normalise mahusiano yake na Israel lakini na Iran tofauti?
Huku mwengine anakuambia wairan ushia umeanzishwa na wayahudi hao wote ni wamoja.
Swali litakuja; kama wote ni wayahudi kivipi uhusiano kwa Israel kwa upande wa Saudia ni sawa ila kwa upande wa Iran kwa Saudia si sawa?
Usahihi 1 : Taifa la Iran linaongozwa kwa kufuata misingi ya dini ya kiislamu lakini chini ya mwamvuli wa dhehebu la shia.Taifa la Irani linaongozwa kwa utaratibu wa dini ya KISHIA.
Usahihi: Hakuna myahudi aliyeasisi dhehebu la shia. Dhehebu la shia lilitokea kupitia mgogoro wa kugombea madaraka kati ya wafuasi wa mtume pamoja na wanafamilia wa bwana mtume.Muasisi wa USHIA alikuwa MYAHUDI.
Iran na israel wana ukaribu sana kuliko hata saudi na israel..Mkuu siyo hilo tu!
Mpaka leo kuna jamii ya Wayahudi Iran na wanamwakilishi ndani ya Bunge la Iran.
Unaweza kuzungumziq kuanzia kwa caliph uthman. Maana baada yake ndio tifu lilikuwa kali zaidi. Ali aliendelea kudhurumiwa upngoziUsahihi 1 : Taifa la Iran linaongozwa kwa kufuata misingi ya dini ya kiislamu lakini chini ya mwamvuli wa dhehebu la shia.
Usahihi 2 : Hakuna dini ya shia ila kuna dini ya kiislamu yenye madhehebu mbalimbali shia ikiwa ni miongoni mwa madhebu hayo.
Usahihi: Hakuna myahudi aliyeasisi dhehebu la shia. Dhehebu la shia lilitokea kupitia mgogoro wa kugombea madaraka kati ya wafuasi wa mtume pamoja na wanafamilia wa bwana mtume.
Chanzo kikuu cha mgogoro:
Mara baada ya mtume kufariki, huku nyuma kulitokea mgogoro mkubwa wa kugombea madaraka hali ambayo ilipelekea kuchelewesha mazishi yake.
Mtume hakuwa ameandaa mrithi wake, hivyo kulitokea makundi makuu mawili ambayo ni:
a) Wafuasi (umma) pamoja na Wafuasi wake wakuu ( Maswahaba), hawa walimpendekeza Abu Bakr na alikubali kupendekezwa.
Hoja zao:
1) Uongozi inabidi uachwe kwa umma na siyo kwa familia.
2) Abu Bakr inaaminika ndiye alikuwa msiri na rafiki mkuu wa mtume.
3) Abu Bakr inaaminika alikuwa na hekima na busara kutokana na utu uzima wake.
4) Abu Bakr ndiye aliyechaguliwa na mtume kuendesha sala wakati yeye anaumwa.
5) Ali alikuwa kijana.
b) Kundi la wanafamilia (wanandugu) ,hawa walimpendekeza Ali na alikubali kupendekezwa.
Hoja zao:
1) Alikuwa na elimu kubwa.
2) Inasemekana kuwa mara nyingi mtume alikuwa akimtaja na kumsifia kama ni mtu mjuzi, mwerevu,hekima, maarifa na mwenye busara sana.
3) Alikuwa kipenzi cha mtume.
4)Alikuwa binamu wa mtume.
5) Alilelewa na kukulia kwa mtume.
Mshindi: Baada ya mjadala mzito hatimaye Abu Bakr alichaguliwa kama kiongozi (Khalifa) mkuu wa kisiasa baada ya kifo cha mtume, kisha Ali akaingizwa kwenye baraza kuu la uongozi,ingawaje alijitoa baadaye.
Baada ya hapa ndipo ukatokea ule msemo kuwa 'uislamu ulienea kwa upanga', ilitumika nguvu kubwa sana kuleta ushawishi mpya mara baada ya mtume kufariki.
Ukimtoa Abu Bakr, viongozi wote (makhalifa) waliuawa wakiwa madarakani na hawakumaliza uongozi wao.
Hivyo Shia wanaamini:
Mtume alimchagua mrithi wake na mrithi huyo ni Ali.Sababu zao:
1) Hija ya mwisho ya mtume
Hapa hadithi zote zinaikubali hii kauli
Wakati wa hija ya mwisho , wakati wanarudi mtume alisimamisha msafara kisha akatoa kauli hii:
"man kuntu mawlΔhu fa-ΚΏAlΔ« mawlΔhu"
Kwa lugha ya kiingereza:
"He of whom I am the mawla, of him Ali is also the mawla"
2) Hadhi (Status) :
Hapa wanasema familia za mitume na manabii zimepewa nafasi ya upendeleo na Mungu kwenye mambo mengi na uongozi ukiwemo.
Kuhusu Quran:
Shia wanaamini :
Quran katika mfumo wa maandishi (mpangilio wa vitabu) ulianza enzi za mtume na siyo wakati wa utawala wa Uthman.
Nb:Uthuman ndiye aliyefanya maboresho ya Quran kutoka njia ya masimulizi kwenda njia ya maandishi. (Abdullah ibn Saba hapa ndipo utaukubali mziki wake)!!
Nb: Samahani kama kuna mtu atakwazika kiimani kwa uchambuzi wangu.
Nb: Hii ni kozi niliisoma miaka mingi kidogo iliyopita na niliipenda na kuielewa!
Nb: Baada ya hii kozi niligundua kuwa dini zote zimeundwa na kutengenezwa na watu.
Nb: Mungu hana dini.
Nb: Huwezi kutenganisha dini na utamaduni wa jamii husika.
Ni mtazamo wangu!
π acha tuchambue bhana. Wanadamu wote ni nduguUtaumiza kichwa hapo π π tena sana ,hao wanacheza na roho za watu ...Vita hapo haitoisha ila kwa ground wachache wanakufa kwa uzembe wa viongozi.
Ukitaka kujua hamna vita ni utapeli chukua media mbili BBC na Aljazeera ,then angalia wanavyofanya coverage kweny kuripot vita.
Bahati mbaya ,wabongo nao wanajifanya wachambuzi wa vita ,huku Tz unakuta mtu anachambua mambo ya huko Middle east kama sio umbea ni nn!?
Nimecheka sana, kwahiyo hapo ndio ushahidi wa kuwa yeye au wao ni Wayahudi ?King Faisal (1906-1975), who ruled the Kingdom between 1964-75, confirmed Jewish ancestry of Saudi Royals. In an interview to Washington post on September 17, 1969, King Faisal is reported to have said βWe, the Saudi family are cousins of the Jews.
asa hivi sio zama za kukariri flan ni mkali wanyonge wa sasa wamepiga hatua hakuna anae taka kukurupuka na iran wanajua kashaota pembeHiyo janja ya Iran, uongo huo wa Iran, yaani hapo Iran anajua kabisa Myahudi anaenda angamiza kizazi chao, wataangamizwa vibaya sanaaaa na Iran anajua pia USA and allies wanawanyemelea sana, sasa sbb kubwa imepatikana ya kuipiga Iran, Iran italia sana, watulie wasubirie kipigo na hofu kubwa kwa Iran ni baada ya kupiga mabomu na drones jumla 385 na zilitunguliwa zoteee na 7 tu zilifika Israel na kukosa targets, yaani hapo wanajua kabisa wao hawana mfumo mzuri wa ulinzi wa anga, watafumuliwa vibaya, sasa wanaanza kulia lia kabla ya kipigo
Hivi ukiwa na akili huo si uongo wa wazi, yaani uambiwe eti wacha au kubali upigwe usijibu, uongo mkubwa huo, Iran hadi hapo tumbo la kuhara tayari, Ayatollaah hapati usingizi wala choo siku ya 4 leo hofu imemjaa sanaaa
Hakuna dini ya kishia. Neno "shia" lipo ndani ya Qur'an maana yake ni kikundi.
Dini ni Uislam tu na Qur'an ni moja.
Wewe nani ukatae? Wakati wenyewe waliyo kwenye huo ukoo wanakiri hili kwamba wao ni wayahudi.
Sasa unachopinga ni nini?
Kama inavyofahamika kuwa Shia wanafuata attribution za imamu wawili 2. Vitabu wanavyovifuata ni vinne (4):
1)Al Kahf
2)Man la Yahduruhu Al Faqih
3)Al Istibsar na
4)Attahdhib
Asilimia 90% ya ripoti za hivi vitabu vinatokana na maimam wawili.
1) Imam Jaafar Al Sadiq na
2)Imam Muhammad Al Baaqir
Na kuna watu ambao wananukuu kutoka kutoka kwa hao maimam, watu hao ni wanne:
1) Abou Basir
2)Hishan ibn Al Hakam
3) Hisham ibn Salim na
4) Zurarah ibn Ayyun
Leo siku ya nne Israel kimyaaHiyo janja ya Iran, uongo huo wa Iran, yaani hapo Iran anajua kabisa Myahudi anaenda angamiza kizazi chao, wataangamizwa vibaya sanaaaa na Iran anajua pia USA and allies wanawanyemelea sana, sasa sbb kubwa imepatikana ya kuipiga Iran, Iran italia sana, watulie wasubirie kipigo na hofu kubwa kwa Iran ni baada ya kupiga mabomu na drones jumla 385 na zilitunguliwa zoteee na 7 tu zilifika Israel na kukosa targets, yaani hapo wanajua kabisa wao hawana mfumo mzuri wa ulinzi wa anga, watafumuliwa vibaya, sasa wanaanza kulia lia kabla ya kipigo
Hivi ukiwa na akili huo si uongo wa wazi, yaani uambiwe eti wacha au kubali upigwe usijibu, uongo mkubwa huo, Iran hadi hapo tumbo la kuhara tayari, Ayatollaah hapati usingizi wala choo siku ya 4 leo hofu imemjaa sanaaa
Kijana hapa tunaongelea elimu, acha utoto. Kama una hoja weka tuijadili.Muasisi wa Ushia ni myahudi? Duh suruali fupi wa kihabi umeanza wenge
Kwenye uzi wangu wa Undugu wa Mwisrael na Muajemi nimeandika haya.Unaweza ukayaelewa zaidi haya mambo ukisoma sana mambo ya consiprancy utauelewa ulimwengu.
Wakuu wa Dunia wote sio maadui kwani mungu wao ni mmoja na wote Wana ajenda moja.
Hata wakuu wa magaidi wote ni wanachama.
Wanatuchezea TU drama wanafanya kitu inaitwa chao order chao.
Kuchafua Dunia kuvuruga Dunia ili kupitisha ajenda moja
Usahihi 1 : Taifa la Iran linaongozwa kwa kufuata misingi ya dini ya kiislamu lakini chini ya mwamvuli wa dhehebu la shia.
hivi wewe mambo ya wakuu wa dunia unayafahamu na mpaka dini zao?!Unaweza ukayaelewa zaidi haya mambo ukisoma sana mambo ya consiprancy utauelewa ulimwengu.
Wakuu wa Dunia wote sio maadui kwani mungu wao ni mmoja na wote Wana ajenda moja.
Hata wakuu wa magaidi wote ni wanachama.
Wanatuchezea TU drama wanafanya kitu inaitwa chao order chao.
Kuchafua Dunia kuvuruga Dunia ili kupitisha ajenda moja
Kama inavyofahamika mwanzilishi wa shia ni myahudi inafahamika vilevile kuwa utawala wa saudia asili yao ni myahudi vilevile. Ni babu yao Mkuu, anaitwa Murdakhai Bin Abraham Bin Moshe Al Dounami, kwa jina jingine anaitwa Merkhan. Babu yao ni myahudi wa kabila la Anza ambaye alikuwa akiishi Basra nchini Iraq na baadaye kuhamia Najd na makazi yake akayaweka Diriya