Kwahiyo Huyo Ally na Hussein ambao Shia wanaamini ndo watume wa Mungu na si Mudi nao vipi!?Hakuna dini ya kishia. Neno "shia" lipo ndani ya Qur'an maana yake ni kikundi.
Dini ni Uislam tu na Qur'an ni moja.
Allah alisemea hayo wapi!? Yaani kuandika jarida ndo Allah kasema!!!??? Huo utumwa wa fikra utawatoka lini!?Allah aliposema ya kuwa hakika dini mbele yake ni Uislamu, na katika surat al Maidah ametilia mkazo, inamaanisha ya kuwa zipo dini nyingine nyingi lakini si sahihi na USHIA ni miongoni mwa dini hizo potofu.
😆 acha tuchambue bhana. Wanadamu wote ni ndugu
Uligundua nini?Nilianza kugundua huo mchezo kwenye corona .
Wapumbavu hawa kuna namna dunia wanaiendesha
Iran alipotaka kushambulia alitangaza kabisa jamaa wakajiandaa mpaka kuweka mfumo ,kiufupi hawapo serious kabisa😅😅.Nilianza kugundua huo mchezo kwenye corona .
Wapumbavu hawa kuna namna dunia wanaiendesha
Amini utakachoamini. Si jukumu langu la kumshurtwisha mtu aniamini. Ukikubaliana nami sawa, usipokubaliana nami sawa. Hakuna kulazimishana kwenye uelewa.Nimecheka sana, kwahiyo hapo ndio ushahidi wa kuwa yeye au wao ni Wayahudi ?
Hili nilikuwa tu ya kuwa lazima utakuwa hauna ushahidi. Hapa nataka uje na ushahidi kuonyesha wao ni Mayahudi, kusema "Cousins" sio ushahidi ya kuwa wao ni Mayahudi, kama vile Wakristo wanavyodai Waislamu ni watoto wa mama mdogo, hii haimaanishi ya kuwa Wakristo nao ni Waislamu.
Au kama wanavyotuita Wakristo.
SAHIHI NI IPI?Allah aliposema ya kuwa hakika dini mbele yake ni Uislamu, na katika surat al Maidah ametilia mkazo, inamaanisha ya kuwa zipo dini nyingine nyingi lakini si sahihi na USHIA ni miongoni mwa dini hizo potofu.
Ebu tulia, acha kuwashwa, ukitaka kumuangamiza adui yako usiwe na haraka, Ayatollaah lazima avuliwe dela na kilemba, akatwe ndefu zote na abakie uchi na dunia itajua, hamtaamini, Israel, USA and allies wana mpango mkali sana kimya kimyaaa, kwenye media USA ana act as if hataki kabisa vita, ila sio kweli, moto utawakaaa within 2 daysLeo siku ya nne Israel kimyaa
Hata Ukrain walisema hivi hiviEbu tulia, acha kuwashwa, ukitaka kumuangamiza adui yako usiwe na haraka, Ayatollaah lazima avuliwe dela na kilemba, akatwe ndefu zote na abakie uchi na dunia itajua, hamtaamini, Israel, USA and allies wana mpango mkali sana kimya kimyaaa, kwenye media USA ana act as if hataki kabisa vita, ila sio kweli, moto utawakaaa within 2 days
Nakujibu kiujumla.Bado nasubiri ulete ushahidi ya kuwa familia ya Saudi ni Mayahudi.
Halafu sanadi za vitabu kama Usual al Kahf na Furu'u yake zilivyo jaa uzandiki.
Mnajua kama nyinyi Mashia hamna hata elimu ya Rijali, kwa zama hizi huku mkidai ya kuwa Al-Khui ndio mwanazuoni wenu wenu wa elimu ya Rijali.
Mbona hujakiweka "Biharul an-War" ?
Na wenyewe sanadi yao inaishia kwa hao wawili ? Hao kina Jaafar na Muhammad Baqir mapokezi yao wameyatoa wapi ? Maana sanadi zenu zimekatika.
Binafsi yako kama umeamua kuamini hivyo sawa baki na ushahidi wako wala kwangu haina shida.Katika ukoo wa Saudia hakuna damu ya Kiyahudi, na wao asili yao inarudi kwa Banu Amir.
Unajua hizo story unazo leta hazina asili katika Historia bali ni matokeo ya watunzi wa uongo ili kuwasema vibaya Watawala wa Saudia
Ebu keleb, subiria within 2 days, Ukraine vs Russia ni vita ngumu mnoooo, na acha kuchanganya maziwa na chokaa, Iran ni chokaa tu, Iran sio Russia, naona uko kama huelewi kabisa issues unalinganisha vitu tofauti, Iran inaenda kuwa majivuHata Ukrain walisema hivi hivi
Unataka kujua nin unadhanj Dunia inajiendea tuhivi wewe mambo ya wakuu wa dunia unayafahamu na mpaka dini zao?!
Wacha utoto huu
nitataka kujua nini kwa mtu kama weww? Kazi kushinda Jf halafu unakuja kudanganya watu wakuu wa dunia! Niache kusikia kutoka kwa Putin au Biden au Bill gates na wengineo nije kukusikiliza wewe umekaa hapo unakunywa uji wa 500.Unataka kujua nin unadhanj Dunia inajiendea tu
Mimi nashinda online namake wewe unategemea wifi ya shemeji yako dunia fata upepo.nitataka kujua nini kwa mtu kama weww? Kazi kushinda Jf halafu unakuja kudanganya watu wakuu wa dunia! Niache kusikia kutoka kwa Putin au Biden au Bill gates na wengineo nije kukusikiliza wewe umekaa hapo unakunywa uji wa 500.
Kudanganyana tu na ujinga.
Huo ndio ukweli hata Iran kurusha yale mabomu nikutaka kujisafisha kwa watu wake. Wewe toka lini mtu anataka kushambulia anawapa notice, Irani aliwapa taarifa USA na nchi zingine time watakazo rusha mabomu sasa kweli wewe unataka kumshambulia mtu unamwambia kila kitu. Hawa wote na fake kumbuka USA wana uchaguzi unakuja, Israel serikali under pressure na Iran under pressure kwa mahafidhina. Wote hawa wanataka ku survive na serikali zao. Kwa kifupi fake na usiamini wana siasa kabisa.View attachment 2965440
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana.
Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu.
Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media zao wanavyotaka.
Ushauri: Kabla hujalaumu au kuchukua upande tulia. Ikiwezekaba tukio lolote likaushie angalau ipite wiki upate uwanja mpana wa kujadili mengine ni tunapangwa.
Ni hayo tu.
Mimi Muislamu lakini siungi mkono chuki hizi maana hazatatusaidia lolote. Wewe ishi katika misingi unayoamini, fanya mema na tekeleza kila tuliyoambiwa na Quraan na Suna'a sasa kazi ya kumuita huyu kafiri huyu hivi sio sawa na sio kazi yako.Ndugu zangu waislam tusinyamaze na kuwaacha makafir mashia kuwadhalilisha na kuwatukana maswahaba. Haiwezekani Iran na mashia wanamtukana bi Ayesha mke kipenzi wa mtume wa Allah eti malaya alikuwa akioga uchi mbele ya wanaume na kugongwa group sex.
Ummah wa uislamu tukiendelea kunyamaza na kuwapuuza hawa mashia tutakosa qauly thabit na kukosa janah na firdaus siku qyamah.
Tususieni bidhaa zote za mashia na mayahudi kama mo energy na coca cola tununue bidhaa za Azam tu.
adriz Mufti kuku The Infinity Jagina
embu tuonyeshe unavyomake? Unadhan wana omake wana muda wakujisifia hapa?Mimi nashinda online namake wewe unategemea wifi ya shemeji yako dunia fata upepo.
Drone za kizamani sana ndio zilirushwa zinatembea kama matoroli. Mdogomdogo karibu masaa manne. Wakati Iran anaadvanced drone zenye uwezo mkubwa na speed za hatari.Huo ndio ukweli hata Iran kurusha yale mabomu nikutaka kujisafisha kwa watu wake. Wewe toka lini mtu anataka kushambulia anawapa notice, Irani aliwapa taarifa USA na nchi zingine time watakazo rusha mabomu sasa kweli wewe unataka kumshambulia mtu unamwambia kila kitu. Hawa wote na fake kumbuka USA wana uchaguzi unakuja, Israel serikali under pressure na Iran under pressure kwa mahafidhina. Wote hawa wanataka ku survive na serikali zao. Kwa kifupi fake na usiamini wana siasa kabisa.