Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

Hakuna dini ya kishia. Neno "shia" lipo ndani ya Qur'an maana yake ni kikundi.

Dini ni Uislam tu na Qur'an ni moja.
Kwahiyo Huyo Ally na Hussein ambao Shia wanaamini ndo watume wa Mungu na si Mudi nao vipi!?
 
Allah aliposema ya kuwa hakika dini mbele yake ni Uislamu, na katika surat al Maidah ametilia mkazo, inamaanisha ya kuwa zipo dini nyingine nyingi lakini si sahihi na USHIA ni miongoni mwa dini hizo potofu.
Allah alisemea hayo wapi!? Yaani kuandika jarida ndo Allah kasema!!!??? Huo utumwa wa fikra utawatoka lini!?
 
Nimecheka sana, kwahiyo hapo ndio ushahidi wa kuwa yeye au wao ni Wayahudi ?

Hili nilikuwa tu ya kuwa lazima utakuwa hauna ushahidi. Hapa nataka uje na ushahidi kuonyesha wao ni Mayahudi, kusema "Cousins" sio ushahidi ya kuwa wao ni Mayahudi, kama vile Wakristo wanavyodai Waislamu ni watoto wa mama mdogo, hii haimaanishi ya kuwa Wakristo nao ni Waislamu.

Au kama wanavyotuita Wakristo.
Amini utakachoamini. Si jukumu langu la kumshurtwisha mtu aniamini. Ukikubaliana nami sawa, usipokubaliana nami sawa. Hakuna kulazimishana kwenye uelewa.
 
Allah aliposema ya kuwa hakika dini mbele yake ni Uislamu, na katika surat al Maidah ametilia mkazo, inamaanisha ya kuwa zipo dini nyingine nyingi lakini si sahihi na USHIA ni miongoni mwa dini hizo potofu.
SAHIHI NI IPI?
 
Leo siku ya nne Israel kimyaa
Ebu tulia, acha kuwashwa, ukitaka kumuangamiza adui yako usiwe na haraka, Ayatollaah lazima avuliwe dela na kilemba, akatwe ndefu zote na abakie uchi na dunia itajua, hamtaamini, Israel, USA and allies wana mpango mkali sana kimya kimyaaa, kwenye media USA ana act as if hataki kabisa vita, ila sio kweli, moto utawakaaa within 2 days
 
Ebu tulia, acha kuwashwa, ukitaka kumuangamiza adui yako usiwe na haraka, Ayatollaah lazima avuliwe dela na kilemba, akatwe ndefu zote na abakie uchi na dunia itajua, hamtaamini, Israel, USA and allies wana mpango mkali sana kimya kimyaaa, kwenye media USA ana act as if hataki kabisa vita, ila sio kweli, moto utawakaaa within 2 days
Hata Ukrain walisema hivi hivi
 
Bado nasubiri ulete ushahidi ya kuwa familia ya Saudi ni Mayahudi.


Halafu sanadi za vitabu kama Usual al Kahf na Furu'u yake zilivyo jaa uzandiki.

Mnajua kama nyinyi Mashia hamna hata elimu ya Rijali, kwa zama hizi huku mkidai ya kuwa Al-Khui ndio mwanazuoni wenu wenu wa elimu ya Rijali.

Mbona hujakiweka "Biharul an-War" ?


Na wenyewe sanadi yao inaishia kwa hao wawili ? Hao kina Jaafar na Muhammad Baqir mapokezi yao wameyatoa wapi ? Maana sanadi zenu zimekatika.
Nakujibu kiujumla.

Mimi ni sunni, madhheb ya Imam Shafii. Ili kuepuka kuingia kwenye mizani ya kupata dhambi kwa kumdhania mtu
Mapokeo ya elimu niliyopatiwa mimi kabla ya kukizungumzia suala lolote basi niwe na ufahamu nalo. Ufahamu nitaupata kwenye kusoma. Kabla hujamzungumzia jamii fulani ipo hivi mimi nawasoma kwanza.

Kwangu huwa haitoshi nikisikia Sheikh fulani kasema hivi au kasema vile kuhusu jamii fulani ya watu. Kwangu nawasoma kwanza hao watu. Kwangu huwa inanitosha nikisoma vitabu vyao. Nitarudi kule kule pa awali! Lazima nitafute vitabu vyao nithibitishe kile kilichosemwa ni kweli au si kweli.

Baada ya hapo ndiyo natoka na msimamo. Kwangu elimu kwanza kisha ndiyo itafuata itikadi. Hivyo, nimebahatika kusoma miongoni mwa vitabu vya mashia.

Kwa sehemu ya elimu ya kuwajua Shia niliyoielezea kwa bahati mbaya umenidhania kuwa Hammaz ni Shia. Umetumia dhana! Hali ambayo kwenye dini inakatazwa kwa sababu unaweza kumdhania mtu kumbe yupo tofauti na kile ulichomdhani. Katika mlango huu unafahamu zaidi.

Kwa nia nzuri tu naweza kusema kwa kinywa kipana; Moja ya mapungufu mliyokuwa nayo Salafi (Answar Sunna) mtu akiwa tofauti na kile mnachokifahamu huwa mnadondokea kwenye dhana. Taswira yoyote itakayokuja kichwani mwenu mtampachika nayo.

Neno elimu kwenye lugha ya kiarabu lina herufi 3. Kuna ayn, lam na mim: Ayn; Mwanzo mwanafunzi anapoanza kusoma anakuwa "atushani", anakuwa na kiu sana ya kusoma. Kila kitu atameza.

Kwenye herufi lam hapa mwanafunzi anakuwa law wam. Hapa utamkuta mtu anakuwa mshindani, mjuaji, anataka kushindana na kila mtu. Na hii ndiyo Marhala mbaya sana!

Akishatoka kwenye lam anakuja kwenye Mim na anakuwa mutamakin. Hapa anatulia hawi na fujo! Anajua hii ni kauli ya Imam fulani madheheb fulani na dalili yao ni fulani. Anatulia.

Sasa ni nini maana yangu kuelezea hilo! Hakuna mahali ambapo nimepinga kuwa ushia haujatokana na Abdillah ibn Saaba. Hakuna mahala nimepinga!

Bali hoja ilikuwa ni kwa sababu nukta kuu ni uyahudi au myahudi basi hawa ni moja. Ikiwa kama nukta kuu ni uyahudi au myahudi swali litakuja hata Utawala wa Saudia asili yao ni uyahudi. Kwa msingi huo kama nukta ikiwa ni uyahudi au myahudi basi kwa kipimo kilekile anachopimiwa Shia ndicho kipimo hicho hicho apimiwe Saudia. Hii ndiyo ilikuwa hoja.

Sasa kama umekubaliana nayo ni sawa! Kama hujakubaliana nayo ni sawa! Kwa sababu sipo kwa ajili ya kumshurutisha mtu wala sipo kwa ajili ushindani. Hatua hiyo mimi nimeshaipita.

Jawabu langu nalikusanya kwa namna hiyo!
 
Katika ukoo wa Saudia hakuna damu ya Kiyahudi, na wao asili yao inarudi kwa Banu Amir.

Unajua hizo story unazo leta hazina asili katika Historia bali ni matokeo ya watunzi wa uongo ili kuwasema vibaya Watawala wa Saudia
Binafsi yako kama umeamua kuamini hivyo sawa baki na ushahidi wako wala kwangu haina shida.

Kwa upande wangu naamini kile ninachoamini kwa sababu nina ushahidi nacho, na nimeridhika nao siyo ushahidi wa kutunga. Saudia ukoo wao ni Mayahudi.

Na mwanzilishi wa Ushia naye ni myahudi swahaba aliyesilimu kiunafiki Abdillah ibn Saaba.

Huo mimi ndiyo msimamo wangu niliyonauthibitisho nao.
 
Hata Ukrain walisema hivi hivi
Ebu keleb, subiria within 2 days, Ukraine vs Russia ni vita ngumu mnoooo, na acha kuchanganya maziwa na chokaa, Iran ni chokaa tu, Iran sio Russia, naona uko kama huelewi kabisa issues unalinganisha vitu tofauti, Iran inaenda kuwa majivu
 
Unataka kujua nin unadhanj Dunia inajiendea tu
nitataka kujua nini kwa mtu kama weww? Kazi kushinda Jf halafu unakuja kudanganya watu wakuu wa dunia! Niache kusikia kutoka kwa Putin au Biden au Bill gates na wengineo nije kukusikiliza wewe umekaa hapo unakunywa uji wa 500.
Kudanganyana tu na ujinga.
 
nitataka kujua nini kwa mtu kama weww? Kazi kushinda Jf halafu unakuja kudanganya watu wakuu wa dunia! Niache kusikia kutoka kwa Putin au Biden au Bill gates na wengineo nije kukusikiliza wewe umekaa hapo unakunywa uji wa 500.
Kudanganyana tu na ujinga.
Mimi nashinda online namake wewe unategemea wifi ya shemeji yako dunia fata upepo.
 
View attachment 2965440

Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana.

Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu.

Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media zao wanavyotaka.

Ushauri: Kabla hujalaumu au kuchukua upande tulia. Ikiwezekaba tukio lolote likaushie angalau ipite wiki upate uwanja mpana wa kujadili mengine ni tunapangwa.

Ni hayo tu.
Huo ndio ukweli hata Iran kurusha yale mabomu nikutaka kujisafisha kwa watu wake. Wewe toka lini mtu anataka kushambulia anawapa notice, Irani aliwapa taarifa USA na nchi zingine time watakazo rusha mabomu sasa kweli wewe unataka kumshambulia mtu unamwambia kila kitu. Hawa wote na fake kumbuka USA wana uchaguzi unakuja, Israel serikali under pressure na Iran under pressure kwa mahafidhina. Wote hawa wanataka ku survive na serikali zao. Kwa kifupi fake na usiamini wana siasa kabisa.
 
Ndugu zangu waislam tusinyamaze na kuwaacha makafir mashia kuwadhalilisha na kuwatukana maswahaba. Haiwezekani Iran na mashia wanamtukana bi Ayesha mke kipenzi wa mtume wa Allah eti malaya alikuwa akioga uchi mbele ya wanaume na kugongwa group sex.

Ummah wa uislamu tukiendelea kunyamaza na kuwapuuza hawa mashia tutakosa qauly thabit na kukosa janah na firdaus siku qyamah.

Tususieni bidhaa zote za mashia na mayahudi kama mo energy na coca cola tununue bidhaa za Azam tu.

adriz Mufti kuku The Infinity Jagina
Mimi Muislamu lakini siungi mkono chuki hizi maana hazatatusaidia lolote. Wewe ishi katika misingi unayoamini, fanya mema na tekeleza kila tuliyoambiwa na Quraan na Suna'a sasa kazi ya kumuita huyu kafiri huyu hivi sio sawa na sio kazi yako.

Ukitaka mvute adui yako kwako ni wewe kuishi kwa matendo mema avutiwe na wewe, kumbuka dini ilienda Asia na Africa bila upanga au kutukanana lakini watu wakafuta dini na matunda yake ni wewe mmoja wapo. Mimi nachukia sana mtu kujipa kazi sio yake, utamuitaje mtu kafiri? hiyo kazi ya Mungu kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake. Hizi dini zilikuwepo enzi za mtume, wakristo, mayahudi na mpaka wapagani sasa wewe ujiulizi Mtume Mohamed si angewaangamiza wote maana alikuwa na uwezo kuomba chochote na Mungu kumpa. lakini Mtume aliishi mpaka majirani zake wayahudi na aliwaulizia wakati wakiumwa. Sasa wewe hizi chuki umejifunza wapi? iishi na kila mtu vizuri imani waachie wenyewe.

Nina majirani wengi tu na marafiki zangu wakubwa ni wakristo tunaheshimiana sana, unaweza kuwa na jirani muislamu na akawa mkorofi sana kwako kuliko wengine wa imani zingine. Tuache mambo haya ya chuki za kidini. wewe fanya mazuri uliyoaambiwa ufanye na mambo ya kuhukumu mwachie mwenye mamlaka hiyo naye ni Mungu tu.
 
Mimi nashinda online namake wewe unategemea wifi ya shemeji yako dunia fata upepo.
embu tuonyeshe unavyomake? Unadhan wana omake wana muda wakujisifia hapa?
Wifi ya shemeji yako ndo nini? Sura kama pumbu la baba yako😂.
Eti unajua mambo ya dunia. Ujawahi hata kuongoza watu wawili unataka kutuambia siri za dunia kwa kuokoteza vitu mitandaoni! Si ajabu una matatizo ya akili
 
Huo ndio ukweli hata Iran kurusha yale mabomu nikutaka kujisafisha kwa watu wake. Wewe toka lini mtu anataka kushambulia anawapa notice, Irani aliwapa taarifa USA na nchi zingine time watakazo rusha mabomu sasa kweli wewe unataka kumshambulia mtu unamwambia kila kitu. Hawa wote na fake kumbuka USA wana uchaguzi unakuja, Israel serikali under pressure na Iran under pressure kwa mahafidhina. Wote hawa wanataka ku survive na serikali zao. Kwa kifupi fake na usiamini wana siasa kabisa.
Drone za kizamani sana ndio zilirushwa zinatembea kama matoroli. Mdogomdogo karibu masaa manne. Wakati Iran anaadvanced drone zenye uwezo mkubwa na speed za hatari.
 
Back
Top Bottom