Naanza Kumuelewa na KUMKUBALI MAKONDA

Kwann hayo maigizo yafanywe na Makonda!?
 

unadhani hii nchi inatatizo la sheria au inatatioz la watu wenye utimamu!!

Akili zako zinafanana tu na ww
 
Mtakuja kushituka Makonda ni mtu mkubwa hapa nchini lkn muda utakuwa umeshawatupa mkono nyie endeleen kusema Maigizo hvohvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…