Naanza kumwelewa kocha wa Simba (Fadlu)

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.

Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi ilichanganywa flani Nouma anacheza kati Ahoua anarudi pembeni.

Naomba kwa waelewa pale zile sub za kina Ateba walipotolewa wakaingia kina Awesu, Nouma, Mukwala, kocha aliswitch kwenye mfumo gani? Maana naona kama ulifaa sana Simba kumiliki mpira na mashambulizi yalizidi.
 
Aisee kweli Liti ni pagumu ila unaweza ukashangaa Singida wakapigwa kirahisi tu pia vilevile kama ambavyo wengi hawategemei iwe
Hiyo inawezekana hasa kama wakiamua kufunguka wapishane na Simba
Leo kilichowasaidia mashujaa ni heshima kwa Simba kwa dk zote za mchezo hawakufunguka kabisa walipiga mid na low block ya hatari kupitia kwa Dunia lwenge
 
Hiyo inawezekana hasa kama wakiamua kufunguka wapishane na Simba
Leo kilichowasaidia mashujaa ni heshima kwa Simba kwa dk zote za mchezo hawakufunguka kabisa walipiga mid na low block ya hatari kupitia kwa Dunia lwenge
Ila naona kama dk za mwisho za 80 hivi ni kama Mashujaa walianza kufunguka
 
Hii staili aliyoitumia fadlu inaitwa "KYAMBASOLA MSOGOLA". Hii staili aliwahi kuitumia mrusi kumpiga mjerumani adolfu hitla mwaka 1945. Pia staili hii aliitumia marekani kumnyoa osama bin laden alivyokuwa kajificha kwenye mapango ya amboni tanga. Kwa pamoja mashabiki wa nyuma mwiko huku mkiwa mmevaa "NEPI" semeni "KYAMBASOLA MSOGOLA".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…