Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi ilichanganywa flani Nouma anacheza kati Ahoua anarudi pembeni.
Naomba kwa waelewa pale zile sub za kina Ateba walipotolewa wakaingia kina Awesu, Nouma, Mukwala, kocha aliswitch kwenye mfumo gani? Maana naona kama ulifaa sana Simba kumiliki mpira na mashambulizi yalizidi.