Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikupe elimu kidogo. Taasisi ninazojua mimi zilizo makini, wanaangalia sana watu na makampuni wanaofanya nao kazi, kuanzia kipindi wanawapa tenda hadi muda wote wa mkataba na wanaweza kuweka hadi vipengele vya uwezekano wa kusitisha mkataba pale upande wa pili unapofanya mambo yanayohatarisha ustawi wa brand yao. Haujawahi kusikia wanamichezo wanapoteza endorsements kutokana na kashfa walizokumbana nazo? Hii yote ni katika kulinda brand za watu.Wenye jezi ni sandaland kaandika aka yake ambayo ni sanda.
Wewe unaleta tafsiri zako.
Au ulitaka uandikwe wewe.
Wanaotangaza biashara wewe maisha Yao binafsi ya ushabiki yanakuhusu kikubwa wanaotangaza jezi zinauza sokoni.
Acha kuwa mbumbumbu
Sasa Fila ana mkataba na nani nchi hii? We jamaa uko sawa kweli? Unataka tuivamie na Japan tukawafunge watu kwa kuwaita watoto wao majina ambayo ni matusi kwetu?Zenye neno fila wanavaa na hawahoji, ila mtanzania wanamwekea uzito, yaani huyo mbumbumbu amzidi uchungu wa pesa yake sandaland aliyewekeza
Naunga mkono hoja tatizo ni elimu elimu Cc ephen_Zenye neno fila wanavaa na hawahoji, ila mtanzania wanamwekea uzito, yaani huyo mbumbumbu amzidi uchungu wa pesa yake sandaland aliyewekeza
Jina lake lilikuwa Sunderland baada ya kuonekana kaiba brand ya watu ndiyo akaenda na Sandaland. Hayo mabadiliko kwenda Sanda ni ya sasa.Jina la Sanda ndio jina lake rasmi, na hata magari yake ya kifahari ameyawekea special number hiyo ya SANDA. Hilo neno LAND la mbele aliliongeza tu kama kukoleza brand yake
Simba ashalipwa billions zake.Ngoja nikupe elimu kidogo. Taasisi ninazojua mimi zilizo makini, wanaangalia sana watu na makampuni wanaofanya nao kazi, kuanzia kipindi wanawapa tenda hadi muda wote wa mkataba na wanaweza kuweka hadi vipengele vya uwezekano wa kusitisha mkataba pale upande wa pili unapofanya mambo yanayohatarisha ustawi wa brand yao. Haujawahi kusikia wanamichezo wanapoteza endorsements kutokana na kashfa walizokumbana nazo? Hii yote ni katika kulinda brand za watu.
Simba ndiye ana mkataba mkubwa na Sandaland, kwa jina alilochagua Simba ina nguvu ya kumfanya abadilishe. Anaweza hata kwenda na SL. Kesho akiamka akajiita Makalio, unataka kusema hiyo haiwahusu Simba?
Akikujibu nitagTatizo lipo wapi kwanza, ni material, nakshi, rangi au maandishi?
Kutoka kibegi cha makombe mpaka kibegi cha jezi. Kazi kweli kweli yaani😁😁😁Zile ni Sanda
Wewe hauwezi kuitakia mema Simba kwa hiyo hata hoja zako siwezi kuzichukulia serious. Kwa hiyo mchezaji kuitwa Debora ni uhaini? Si ni nyie ndiyo mmekuwa mnakejeli mkasahau juzi tu mlikuwa na Joyce Lomalisa.Simba ashalipwa billions zake.
Anayeuza ni sandaland.
Kwani kafamya kosa Gani linalokuchukiza?
Mbona Simba imemsajili mchezaji anaitwa DEBORA hukuja kutema mate hapa.
Neno sanda ni jina lake tajiri kwaiyo wewe hutaki jina lake
Acha ubishi, Mkurugenzi wa Sandaland anaitwa Sanda Omary Yenga, na ndinga zake zote za kishua amezikatia special number inaitwa SANDA. Wala jina lake haina uhusiano katika maandishi na Sunderland ya UingerezaJina lake lilikuwa Sunderland baada ya kuonekana kaiba brand ya watu ndiyo akaenda na Sandaland. Hayo mabadiliko kwenda Sanda ni ya sasa.
😳Zenye neno fila wanavaa na hawahoji, ila mtanzania wanamwekea uzito, yaani huyo mbumbumbu amzidi uchungu wa pesa yake sandaland aliyewekeza
😳Zenye neno fila wanavaa na hawahoji, ila mtanzania wanamwekea uzito, yaani huyo mbumbumbu amzidi uchungu wa pesa yake sandaland aliyewekeza
Upumbavu huu.Jina la Sanda ndio jina lake rasmi, na hata magari yake ya kifahari ameyawekea special number hiyo ya SANDA. Hilo neno LAND la mbele aliliongeza tu kama kukoleza brand yake
Picha???Jamani nataka kusema kitu kuhusu jezi za simba,hilo neno la SANDA lililofipishwa kwenye jezi za simba mwaka huu kutakuwa na kufuru sana,wengi tunajua kuwa SANDA huzishwa maiti,basi wanasimba atakaye vaa jezi hizo mpya litamkuta jambo??
Haina maana kupisha hivyo,neno lenyewe lina ukakasi sana kwa jamii.
Yangu macho
SANDAWenye jezi ni sandaland kaandika aka yake ambayo ni sanda.
Wewe unaleta tafsiri zako.
Au ulitaka uandikwe wewe.
Wanaotangaza biashara wewe maisha Yao binafsi ya ushabiki yanakuhusu kikubwa wanaotangaza jezi zinauza sokoni.
Acha kuwa mbumbumbu
Picha hiko wapi? Wee mzushi! Kama habari haijakamilika unaleta ya nini?Inafikirisha sana kwamba mbunifu wa jezi ameona neno SANDA linafaa sana kwenye jezi🤔
Kakosa kingine isipokuwa SANDA imemfurahisha!
Basi kafungua code mapema izo SANDA zitawazika wenyewe kwenye nafasi ya 3 au ya 4 kwenye ligi, mlianza na jeneza Sasa mmeleta SANDA sio mbaya jeneza na SANDA uwa aviachani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wametukosea sana Wanasimba,kwanini hawajaandika SANDALAND yote jamani.Jamani nataka kusema kitu kuhusu jezi za simba,hilo neno la SANDA lililofipishwa kwenye jezi za simba mwaka huu kutakuwa na kufuru sana,wengi tunajua kuwa SANDA huzishwa maiti,basi wanasimba atakaye vaa jezi hizo mpya litamkuta jambo??
Haina maana kupisha hivyo,neno lenyewe lina ukakasi sana kwa jamii.
Yangu macho