Naanza kupata wasiwasi na Sandaland kama mtengenezaji wa jezi za Simba

Wenye jezi ni sandaland kaandika aka yake ambayo ni sanda.
Wewe unaleta tafsiri zako.
Au ulitaka uandikwe wewe.
Wanaotangaza biashara wewe maisha Yao binafsi ya ushabiki yanakuhusu kikubwa wanaotangaza jezi zinauza sokoni.
Acha kuwa mbumbumbu
Ngoja nikupe elimu kidogo. Taasisi ninazojua mimi zilizo makini, wanaangalia sana watu na makampuni wanaofanya nao kazi, kuanzia kipindi wanawapa tenda hadi muda wote wa mkataba na wanaweza kuweka hadi vipengele vya uwezekano wa kusitisha mkataba pale upande wa pili unapofanya mambo yanayohatarisha ustawi wa brand yao. Haujawahi kusikia wanamichezo wanapoteza endorsements kutokana na kashfa walizokumbana nazo? Hii yote ni katika kulinda brand za watu.

Simba ndiye ana mkataba mkubwa na Sandaland, kwa jina alilochagua Simba ina nguvu ya kumfanya abadilishe. Anaweza hata kwenda na SL. Kesho akiamka akajiita Makalio, unataka kusema hiyo haiwahusu Simba?
 
Zenye neno fila wanavaa na hawahoji, ila mtanzania wanamwekea uzito, yaani huyo mbumbumbu amzidi uchungu wa pesa yake sandaland aliyewekeza
Sasa Fila ana mkataba na nani nchi hii? We jamaa uko sawa kweli? Unataka tuivamie na Japan tukawafunge watu kwa kuwaita watoto wao majina ambayo ni matusi kwetu?
 
Jina la Sanda ndio jina lake rasmi, na hata magari yake ya kifahari ameyawekea special number hiyo ya SANDA. Hilo neno LAND la mbele aliliongeza tu kama kukoleza brand yake
Jina lake lilikuwa Sunderland baada ya kuonekana kaiba brand ya watu ndiyo akaenda na Sandaland. Hayo mabadiliko kwenda Sanda ni ya sasa.
 
Simba ashalipwa billions zake.
Anayeuza ni sandaland.
Kwani kafamya kosa Gani linalokuchukiza?
Mbona Simba imemsajili mchezaji anaitwa DEBORA hukuja kutema mate hapa.
Neno sanda ni jina lake tajiri kwaiyo wewe hutaki jina lake
 
Wewe hauwezi kuitakia mema Simba kwa hiyo hata hoja zako siwezi kuzichukulia serious. Kwa hiyo mchezaji kuitwa Debora ni uhaini? Si ni nyie ndiyo mmekuwa mnakejeli mkasahau juzi tu mlikuwa na Joyce Lomalisa.

Baada ya kulipwa haimaanishi anaweza kujifanyia anachotaka. Unanipotezea muda wangu.
 
Jina lake lilikuwa Sunderland baada ya kuonekana kaiba brand ya watu ndiyo akaenda na Sandaland. Hayo mabadiliko kwenda Sanda ni ya sasa.
Acha ubishi, Mkurugenzi wa Sandaland anaitwa Sanda Omary Yenga, na ndinga zake zote za kishua amezikatia special number inaitwa SANDA. Wala jina lake haina uhusiano katika maandishi na Sunderland ya Uingereza
 
Hii Nchi tunapenda kupeleka Mambo kwa mihemko..yani leo mnaomba viongozi wavunje mkataba na sandaland kisa Jezi imezinduliwa hamuipendi?

Yani unataka kusema Sandaland ameitoa jezi bila kuipitisha kwa Viongozi?
 
Jina la Sanda ndio jina lake rasmi, na hata magari yake ya kifahari ameyawekea special number hiyo ya SANDA. Hilo neno LAND la mbele aliliongeza tu kama kukoleza brand yake
Upumbavu huu.
Kwa hiyo kama gari ameweka special number ya SANDA ndiyo itufanye sisi tukubali kuvaa Sanda?

Hivi ukikuta bus limesajiliwa kwa jina " JENEZA unadhani litapata abiria?

Au liandikwe MORTUARY halafu lipate abiria!!?
 
Picha???
 
Wenye jezi ni sandaland kaandika aka yake ambayo ni sanda.
Wewe unaleta tafsiri zako.
Au ulitaka uandikwe wewe.
Wanaotangaza biashara wewe maisha Yao binafsi ya ushabiki yanakuhusu kikubwa wanaotangaza jezi zinauza sokoni.
Acha kuwa mbumbumbu
SANDA
 
Picha hiko wapi? Wee mzushi! Kama habari haijakamilika unaleta ya nini?
 
Wametukosea sana Wanasimba,kwanini hawajaandika SANDALAND yote jamani.
Sijapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…