Naanza kupokea zawadi na mialiko ya Christmas mapema

Naanza kupokea zawadi na mialiko ya Christmas mapema

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Natumai usiku wenu kwa sasa ni mzuri,wengine wanafanya maandalizi ya kupiga game ili Walale wakiwa wamekumbatiana..😊😊wengine haijulikabmni kama wako kitandani au uwanja wa mpira maana kila mtu kageukia upande wa dunia yake visirani na gubu vimetamalaki😁😁..wengine ndo kama sisi tu naona maruweruwe😆😆basi mradi tabu tu kuumizana vichwa.woooote salamu ziwafikie.

Hiyo ilikuwa ni salamu tu🤓🤓ngoja ni rudi kwenye uzi.

Jaman msijesema sikusema mapema,,naanza kupokea zawadi,mialiko ya lanchi na dina siku hiyo.. DDDD88EF-DBAE-4718-AFD6-49A628D1ABD9.jpeg

🥂🥂🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Sasa hii ndio tafsiri halisi na halali ya "UJAMBAZI WA BILA KUTUMIA SILAHA".

Hapo mwisho ungemalizia "WAHI SASA MAPEMA, KUEPUKA FOLENI".
Ujambazi ni kufanya unyang’anyi kwa kutumia nguvu na mabavu.

Sasa wapi wewe umeona sehemu nimefanya ujambazi?
Acha kukwepa mkuu toa mwaliko huo basi😂😂
 
Mkuu, naona kila dalili utaishia "KOLOKOLONI" halafu gereza litakuita, TRA watakuomba "RISITI ZA MALIPO YA KODI" kwa kipato utakachovuna na huduma utakazotoa.

Si unajua TRA wameanzisha mpaka "KODI YA VITANDA", kwa lugha yao ya Malkia Elizabeti eti wanaiita "BED LEVY".
8350A8B6-2884-41DF-99F7-6ADAA8F58999.jpeg
E2B0CC46-00E7-4400-AA26-1EAB11453713.jpeg
4FF09012-768A-4D85-9958-256F7557393E.jpeg
6E9F7D0B-7BAB-454E-8EA1-D8A2F7806E65.jpeg
 
Hahahaa,,, acha zako bibie! Unanikumbusha yule jamaa alisema subira haivuti nyagi
Tufurahishane tu wakuu maisha yenyewe mafupi haya..tukiwa wazima tumwambie Mungu Asante
 
Umemaliza mkuu 😂😂😂 cha ajabu funguo za strong room unaweza usikabidhiwe.
Umeanza mabalaa basta hebu lala huko.mbembeleze wifi uko..

Weww najua ukiona tigopesa imeandikwa mahali mizizi ya kichwa inabidi mama..ngoja nizitoe hizo pesa pesa tatu hapo
 
Natumai usiku wenu kwa sasa ni mzuri,wengine wanafanya maandalizi ya kupiga game ili Walale wakiwa wamekumbatiana..😊😊wengine haijulikabmni kama wako kitandani au uwanja wa mpira maana kila mtu kageukia upande wa dunia yake visirani na gubu vimetamalaki😁😁..wengine ndo kama sisi tu naona maruweruwe😆😆basi mradi tabu tu kuumizana vichwa.woooote salamu ziwafikie.

Hiyo ilikuwa ni salamu tu🤓🤓ngoja ni rudi kwenye uzi.

Jaman msijesema sikusema mapema,,naanza kupokea zawadi,mialiko ya lanchi na dina siku hiyo..View attachment 1646515

🥂🥂🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
Extrovert nimeshaediti hizo pesa pesa tatu hapo mizizi ya kichwa ikupoe sana😆😆😆😆
🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂
 
Back
Top Bottom