Naanza kupokea zawadi na mialiko ya Christmas mapema

Naanza kupokea zawadi na mialiko ya Christmas mapema

Attachments

  • 20201211_001442.jpg
    20201211_001442.jpg
    25 KB · Views: 1
Hallelujah 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️

Asante Joanah wangu kipenzi..Xmas hii unazawadi yangu mama😘😘
 
Natumai usiku wenu kwa sasa ni mzuri,wengine wanafanya maandalizi ya kupiga game ili Walale wakiwa wamekumbatiana..[emoji4][emoji4]wengine haijulikabmni kama wako kitandani au uwanja wa mpira maana kila mtu kageukia upande wa dunia yake visirani na gubu vimetamalaki[emoji16][emoji16]..wengine ndo kama sisi tu naona maruweruwe[emoji38][emoji38]basi mradi tabu tu kuumizana vichwa.woooote salamu ziwafikie.

Hiyo ilikuwa ni salamu tu[emoji851][emoji851]ngoja ni rudi kwenye uzi.

Jaman msijesema sikusema mapema,,naanza kupokea zawadi,mialiko ya lanchi na dina siku hiyo..View attachment 1646515

[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Njoo uchukue mpendwa
 
Back
Top Bottom