Naanza kupokea zawadi na mialiko ya Christmas mapema

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Natumai usiku wenu kwa sasa ni mzuri,wengine wanafanya maandalizi ya kupiga game ili Walale wakiwa wamekumbatiana..๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Šwengine haijulikabmni kama wako kitandani au uwanja wa mpira maana kila mtu kageukia upande wa dunia yake visirani na gubu vimetamalaki๐Ÿ˜๐Ÿ˜..wengine ndo kama sisi tu naona maruweruwe๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†basi mradi tabu tu kuumizana vichwa.woooote salamu ziwafikie.

Hiyo ilikuwa ni salamu tu๐Ÿค“๐Ÿค“ngoja ni rudi kwenye uzi.

Jaman msijesema sikusema mapema,,naanza kupokea zawadi,mialiko ya lanchi na dina siku hiyo..

๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ
 
Sasa hii ndio tafsiri halisi na halali ya "UJAMBAZI WA BILA KUTUMIA SILAHA".

Hapo mwisho ungemalizia "WAHI SASA MAPEMA, KUEPUKA FOLENI".
Ujambazi ni kufanya unyangโ€™anyi kwa kutumia nguvu na mabavu.

Sasa wapi wewe umeona sehemu nimefanya ujambazi?
Acha kukwepa mkuu toa mwaliko huo basi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
 
Hahahaa,,, acha zako bibie! Unanikumbusha yule jamaa alisema subira haivuti nyagi
Tufurahishane tu wakuu maisha yenyewe mafupi haya..tukiwa wazima tumwambie Mungu Asante
 
Umemaliza mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ cha ajabu funguo za strong room unaweza usikabidhiwe.
Umeanza mabalaa basta hebu lala huko.mbembeleze wifi uko..

Weww najua ukiona tigopesa imeandikwa mahali mizizi ya kichwa inabidi mama..ngoja nizitoe hizo pesa pesa tatu hapo
 
Extrovert nimeshaediti hizo pesa pesa tatu hapo mizizi ya kichwa ikupoe sana๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ