Naanza sasa Kumuamini aliyeniambia kuwa Kipa Msheri wa Yanga SC atapona Ugonjwa Usiojulikana Yanga SC ikiwa Bingwa wa CAFCC 2023

Naanza sasa Kumuamini aliyeniambia kuwa Kipa Msheri wa Yanga SC atapona Ugonjwa Usiojulikana Yanga SC ikiwa Bingwa wa CAFCC 2023

Kikubwa tumeshinda🤣🤣🤣🤣🤣
Ugonjwa wake atapambana nao mwenyewe
 
Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu ifanye Maajabu makubwa Afrika baada ya Viongozi Kukataa Kujitoa Sadaka ya Umauti kwa Mafanikio ya Timu.

Moderatora Active, Moderator na JamiiForums nirekebishieni hapo katika mwaka ni CAFCC 2023 na siyo hiyo CAFCC 2003. Nitawashukuru.

ANGALIZO

Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.

Nimemaliza.
Acha uchawi dogo
 
Back
Top Bottom