Naanzaje kupata talaka?

What if mumewe kapewa limbwata katika sagula sagula yake na huyu mama ni innocent? Au what if mwanaumr ndo hajapangiwa ndoa na ndo maana ana achan na kila anaye ishi nae.

Kufikiria nacho ni kipaji mkuu. Asante.
 

Kwahiyo ww unatakaje?
 
You are very mistaken, being out is first aid and getting divorce is complete treatment.... May you plz mind your business...? You make me sick for sure.

Sasa yesu angesema kachoka kubeba msalaba ingekuwaje? Huo ni msalaba wako,ubebe mpaka kalvario utamkuta mwokozi yesu naye atakufariji ni kumrudisha mume wako,ulivaa shera ukaapa mbele ya MWENYEZI MUNGU sio padri, kwamba ni katika shida na raha, SASA UKO KATIKA SEHEMU TU YA KIAPO CHAKO,ndoa inakupa shida, ina maana shida yako inazidi ya AYUBU wa kwenye biblia? Inazidi ya YESU msalabani? Inazidi ya yule mama aliyetoka damu miaka saba? Inazidi ya yule jamaa aliyetolewa mapepo makaburini?
 
Mambo ya kawaida hayo, kuwa mvumilivu sana katika ndoa.. 88% ya wanandoa wanachepuka.uvumilivu muhimu
 
Kwahiyo ww unatakaje?

Umeapa kanisani kwamba kifo kitawatenganisha, sasa unataka kwenda mahakamani ili hakimu akatekeleze ulichokiapa? Kaa na ndoa yako, naona unatafuta frustration zaidi, peleka vijana shule na mungu atawasimamia, otherwise GOD knows how to ashame the wicked,
 
kuna sababu nyingi sana ambazo zinapelekea kuwa sababu moja ndowa kuvunjika sabcu hyo ni kwamba ndoa imefikia kiwango cha kutotibika na haiwezi kuendelea ndipo mahakama inafikia hatua ya kupoa taraka lakin jua ya kwamc mahakama haiko tayar kuvunja ndoa yako. Hatua ya kwanza ni kuzungukia mabalaza husika ya kusulhsha ndoa na kama hujafika huko mahakama itakurudisha tena huko lakin cha kukushaur kwanza ni kuomba commandi ya mahakama ya mume kulea watoto na wewe pia.
 
ungekuwa wa dini yetu, hilo ni sekunde!
 

Nina mashaka na uelewa wako wa maandiko. Andiko halimkandamizi mwanamke liko kwa wote. Tatizo huwa mnataka kupiga picha za harusi bila kuelewa nini maana ya ndoa. Kama ukisoma bandiko langu nilianza kwa kueleza jinsi ninavyopata shida katika kushauri watu ambao walifunga ndoa guest wakiwa wawili. Halafu nimesema inawezekana ni njia ya kulazimisha kuoana kwao hata bila ridhaa ya wazazi ndo maana wanapeana mimba kwanza ili wazazi wao wawaruhusu kwa vile tayari wana watoto. Sasa kwa kuanzia hata huyu inaelekea alilazimisha mimba kisha ndoa kwa sababu ya mtoto aliyezaliwa lakini wazazi hwakuwa radhi. Sasa pamoja na hayo makanisa yenu yanawapokea na kuwafungisha ndoa lakini kinachosikitisha ni kwamba hayawafundishi nini maana ya ndoa ndiyo maana baada ya kukaa pamoja miaka hiyo miwili sijui tayari unatafuta talaka. Pia nimemalizia kwa kumshauri kwamba aanze na wazazi wa pande zote mbili, kisha awatumie viongozi wake wa dini. Kumbuka hata ukienda mahakamani bado watakurudisha kwa hawa watu kwanza, unless ukatumie murungura maana nchi hii imeoza kwa rushwa. Sasa wewe krenea unacholilia nini?
Kuna mwenzake alisingizia kwamba mumewe anataka tigo, harakaharaka mahakama ikatoa talaka;leo anagegedana na huyohuyo mumewe na wanashindwa kurudiana tena kwa ujinga wao kama huu. NDOA INAHITAJI JUHUDI! Na maelezo ya huyu bado yanajichanganya, mara mama mkwe anamshauri, mara instability ya mumewe mara hivi so kinachoonekana kuna jeuri fulani aliyonayo huyu na hataki kujishusha na pia inaonekana anataka kuingiza mambo ya jf kwenye ndoa. AENDE KWA WAZEE NA WACHUNGAJI WAKE!!!!
 
Mleta mada ukisoma ushauri wote uliopewa hapa (ukiachana na hzo za huyo jamaa uliyemwambia povu) then ukajiongeza mwenyewe nafikiri utakuwa umejua wapi pa kuanzia so far. By the way pole kwa kejeli za hao wengine maana hii ni jamii na ktk jamii kuna diverse of mindsets.
 

vuta shuka ulale
 


Asante mkuu
 
ndoa ndoano kweli! katika BIBLIA TAKATIFU,hakuna watu waliotengana? na kama ndoa inataka kuatarisha maisha ya mtu aendelee kuwa kwenye ndoa? nafikiri nenda mahakama ya wilaya watakupa utaratibu wa kufuata.
 
ndoa ndoano kweli! katika BIBLIA TAKATIFU,hakuna watu waliotengana? na kama ndoa inataka kuatarisha maisha ya mtu aendelee kuwa kwenye ndoa? nafikiri nenda mahakama ya wilaya watakupa utaratibu wa kufuata.


Asante mkuu
 
ndoa ndoano kweli! katika BIBLIA TAKATIFU,hakuna watu waliotengana? na kama ndoa inataka kuatarisha maisha ya mtu aendelee kuwa kwenye ndoa? nafikiri nenda mahakama ya wilaya watakupa utaratibu wa kufuata.

Tu-mwanamke twa siku hizi nato tumekuwa tusumbufu sana! Ndo maana tunaishia kusagana! (Wakuu msijali hicho kiswahili, ni tafsiri ya Kisukuma kwenda Kiswahili).
 

Kwanza anza kwenda Baraza la usuluhishi la ndoa haya yapo kila wilaya
Huko mkishindwa kupatana utafungua madai ya talaka mahakamani. Nakushauri ukaongee na Wakili kwanza au vituo vya msaada Wa Sheria.
 
Hali hiyo cjakuomba unisaidie povu linakumwagika hivyo...non of your business stay out of this.

Ndo maana umetemwa kiburi na hasira na dharau. Haya sasa uko na makinda mawili huo Uhuru no upi unaosota kujua unapatikanaje. Nyie akinadada mnasumbua sana kwa kweli. Mie nimeoa miaka Saba sasa lakini ni timbwili tu. Jana tu nimemfungia mlango yeye na mwanae na mimba yake na mdogo wake na shangazi take. Walikolala sijui na walipo sijui. Jitu unalifungia mlango halijiulizi tu. Nenda mwana kwenda na wengine watakuja upuuzi huu.
 
You are very mistaken, being out is first aid and getting divorce is complete treatment.... May you plz mind your business...? You make me sick for sure.

Ona ulivyo mjuaji
 

Hahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…