Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada kam~frustate jamaa thats why he dont trust any woman, ina maana amesahau kiapo chake cha ndoa? SHIDA NA RAHA, yeye alifikiri ni shida ya kupata pesa? Hajui kuwa hiyo taasisi inaandamwa na shetani ili aivunje na shetani kafanikiwa kumuingia huyo dada? Tangu afunge ndoa hajakanyaga kanisani unafikiri shetani atamwacha,
You are very mistaken, being out is first aid and getting divorce is complete treatment.... May you plz mind your business...? You make me sick for sure.
Kwahiyo ww unatakaje?
Hivi kwanini mnawakandamiza wanawake kwa kivuli cha maandiko ya ndoa hivi mume akisha mfukuza au kutengana na mke miaka 2 kuna ndoa?
Kama mtoa mada angekua bado yuko na mumewe ndani ndo tungeshauri uvumilivu na mambo kama hayo sasa ata agizo la ndoa ataliti.iza vipi na mtu wametengana miaka miwili?
labda kama una mshauri akae tu amrhatamia vyeti maana nini uhakika mume anapata mahitaji ya kimwili kwingine kwahiyo huyu dada yeye alale na vyeti?
Wakat mwingine tujaribu kudiscuss uhalisia kuliko imani maana kwa miaka miwili wameshindwa kusuluhishana wenyewe mpaka hapo majaliwa ndo yata waweka pamoja.
Kwa msingi wa neno hawa washakua wazinzi so hakuna mathayo wala nini?Maana mume anaweza kumkuta na mpenzi/mzinzi mwenzie akajidai kamfumania au akafanya fujo wakati nae ni mzinzi thats why katika hatua hii talaka ni muhimu.
mleta mada ukisoma ushauri wote uliopewa hapa (ukiachana na hzo za huyo jamaa uliyemwambia povu) then ukajiongeza mwenyewe nafikiri utakuwa umejua wapi pa kuanzia so far. By the way pole kwa kejeli za hao wengine maana hii ni jamii na ktk jamii kuna diverse of mindsets.
Mleta mada ukisoma ushauri wote uliopewa hapa (ukiachana na hzo za huyo jamaa uliyemwambia povu) then ukajiongeza mwenyewe nafikiri utakuwa umejua wapi pa kuanzia so far. By the way pole kwa kejeli za hao wengine maana hii ni jamii na ktk jamii kuna diverse of mindsets.
ndoa ndoano kweli! katika BIBLIA TAKATIFU,hakuna watu waliotengana? na kama ndoa inataka kuatarisha maisha ya mtu aendelee kuwa kwenye ndoa? nafikiri nenda mahakama ya wilaya watakupa utaratibu wa kufuata.
Nimeolewa miaka minne iliyopita na Nina watoto wawili,miaka miwili iliyopita tulihitilafiana na mume wangu tukatengana baada ya pale alisusa kuhudumia watoto kwa kilakitu ninaishi na watoto wangu bila msaada wowote kutoka kwake...
Naomba wakuu mniongoze katika kupata talaka ili nianze upya nikijua Niko huru kuliko kuishi kwa mashaka hivi kwa kivuli cha Ndoa ambayo haiexist. Msaada wenu Tafadhali.
Hali hiyo cjakuomba unisaidie povu linakumwagika hivyo...non of your business stay out of this.
You are very mistaken, being out is first aid and getting divorce is complete treatment.... May you plz mind your business...? You make me sick for sure.
Ndo maana umetemwa kiburi na hasira na dharau. Haya sasa uko na makinda mawili huo Uhuru no upi unaosota kujua unapatikanaje. Nyie akinadada mnasumbua sana kwa kweli. Mie nimeoa miaka Saba sasa lakini ni timbwili tu. Jana tu nimemfungia mlango yeye na mwanae na mimba yake na mdogo wake na shangazi take. Walikolala sijui na walipo sijui. Jitu unalifungia mlango halijiulizi tu. Nenda mwana kwenda na wengine watakuja upuuzi huu.